Kwanini wapiga kura wameamua kuifuta CHADEMA?

Naomben watu wenye hekima msimjibu huyu hii thread iishie hpa katumwa kuja kujustify ujinga kwa kuunga unga stor mambo mengine kajiitia haon
Buku 7 at work
 
Uzi mwema kabisa ila kichwa cha habari kilistahili kuandikwa hivi, Kwa nini mawakala wa CHADEMA waliwanyima kura???
Ni hayo tu kwa leo.
 
Mleta mada amini nakuambia CDM peke yake ingepata wabunge zaidi ya 60 kama uchaguzi ungekuwa huru na wa haki!
Elewa kuwa uchaguzi huu matokeo yalikuwa 'mifukoni' tyr siku nyingi! Ni ubabe tu!
 
dr Slaa yule wa Kikwete angetenda yake kipindi cha JPM basi angekuwa marehemu hivi tunavyoongea!
 
Hivi kumbe kulikua kuna zoezi la kupiga kura mwaka huu ?
 
Kuna watanzania awaipendi CCM,lakini kwa ukibaraka wa wazi aliounyesha Lissu mgombea wa Chadema wakaamua kimpiga misumali kwenye sanduku la kura.
Kwanini mmeiba kura?Ili kufanya zoezi kuwa jepesi mkafunga na mitandao!Woga wa nini kama mnapendwa?
 
Nenda kwa pololepole kachukue buku saba zako. Maana huu upupu uliomwaga hapa kwa kweli utawasumbua sana wajinga wenzio. Kuna tetesi zile nafasi za viti maalum Chadema sasa watapewa polisi, tume, nec na nyie kada wa mitandaoni hivyo pambana.
 
Bwege tu wewe hujui lolote
 
"Shouting Dog and Swine".

Acha yaliyo sirini yabaki huko huko.

Uchaguzi Umekwisha
Uchaguzi Umekwisha
Uchaguzi umekwisha

Aiseeeeeeeeeeeee.
 
Wakati wa Dr. Slaa hatukuona watu wakipigwa risasi na kupotea kiasi hiki au mitandao ikifungiwa pamoja na hofu kubwa ya CCM vipi leo kuwafungia wananchi mnaodhani wanawapenda? mnaogopa nini? fungueni mitandao mpate majibu kama kweli huu wa juzi ulikuwa UCHAGUZI AU UCHAFUZI.. Hasara mliyoiingizia Taifa kwa uwoga na utapeli wenu haitakaa ifidiwe karibuni...wezi wakubwa nyie.
 
Hii propaganda ya "kanunuliwa" nayo haikuwa calculated vizuri.

Unamchagua mwanaCDM na kulinda kura juu halafu baadaye ,"unasikia amenunuliwa huyo".

Nini sasa tofauti ya kuchagua mtu na magimbi?
 
The point is that the ballot was rigged and bussiness can not be as usual. Kuna yajayo kwasababu uwakilishi katika bunge hili hautokani na kura za wananchi.
 
Bado naendelea kutafakari ulichokiandika........................................
Nitarudi baadae nibandike maoni yangu.
 
Wakat wa Dr slaa kikwete aliwacha upinzan kufanya mikutano, ndio maana walikuwa na nguvu.

Huyu wa sasa hataki kupigwa na anasema mbele ya camera hataki upinzani.

Wewe unasema wapiga kura ndio wameua upinzani.

Shiit
Wapinzani hawana shukrani hakuna mfumo walioishi wakashukuru isipokuwa huwa wanakumbuka baada ya kuja utawala mwingine Hata Magufuli akitoka akaja Rais poa watasema Nchi Ina Rais dhaifu
 
Kwanini mmeiba kura?Ili kufanya zoezi kuwa jepesi mkafunga na mitandao!Woga wa nini kama mnapendwa?
Mtoto kama kilasiku shuleni unaibiwa penseli uyo ni mzembe,ni wakupiga viboko ili awemakini.
 
Jinga wewe..mawakala zaidi ya 50,000 walizuiwa kuingia vituoni...bora baba yako angepiga puri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…