Kwanini Wapinzani hawavai Barakoa?

Kwanini Wapinzani hawavai Barakoa?

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Naomba sababu, kwà nini Wapinzani wote hawavai Barakoa kwenye mikusanyiko yao?

Miezi kadhaa iliyopita tuliona Wanaharakati na Wapinzani wakisisitiza sana watu wavae Barakoa.

Naona sasa wamemuachia mama na waandamizi wake.
 
..kujikinga au kutokujikinga na corona kusifanywe kuwa jambo la kisiasa la malumbano baina ya vyama vya siasa.
 
Naomba sababu, kwà nini wapinzani wote hawavai Barakoa kwenye mikusanyiko yao?

Miezi kaza iliyopita tuliona wanaharakati na wapinzani wakisisitiza Sana watu wavae Barakoa.

Naona sasa wamemuachia mama na waandamizi wake.
1623697453080.png
 
Wapinzani hasa Chadema wana akili sawa na za nyumbu. Wanaongelea hili muda huu na ukimpa tu mgongo ashasahau alikiwa anapings nini au anaunga mkono nini?

Huko CCM kuna mijitu mijinga ya kuhurumia. Mmoja wapo ni wewe. Kwamba hapo ndiyo umemwaga nondo kweli kweli unasubiri sasa kupongezwa?

Hiiiiii bagosha!
 
Utawaweza hao ka kitu kwaiyo ni kwenda against tu kipindi nchi haivai wao walikuwa wanavaaa sasa hivi nchi inavaa wenyewe hawavai yani wanapenda ligi utadhani bundasiliga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila cha muhimu uhai tu
 
Leo nimemuona Mbowe kavaa barakoa pembeni yupo Sugu bila barakoa, nikawa najiuliza hivi Sugu anatafsiri vp kitendo cha Mbowe kuvaa barakoa huku yeye Sugu hajava pamoja na Makamanda wengine? Ila mimi ndio maana huwa napinga huku watu kumtupia lawama Mwendazake kuwa kafanya watu wasivae barakoa na kudharau corona.
 
Mbona sugu anavaa sana kwan sio mpinzan?
 
Naomba sababu, kwà nini wapinzani wote hawavai Barakoa kwenye mikusanyiko yao?

Miezi kaza iliyopita tuliona wanaharakati na wapinzani wakisisitiza Sana watu wavae Barakoa.

Naona sasa wamemuachia mama na waandamizi wake.

Eeeh mbona wanaweza kushirikiana na CCM kabisa we unashangaa kuvaa barakoa
 
Nchi hii imejaaa watu WANAFIKIIII. Hapo huwezi kuwasikia kina Maria Sarungi wanaongelea Barakoa.

Maana wao wenyewe hawajui wanaamini kwenye nini.
Aliambiwa aseme SUUU na kiwangwala mpaka leo mdomo mzito
 
Huko CCM kuna mijitu mijinga ya kuhurumia. Mmoja wapo ni wewe. Kwamba hapo ndiyo umemwaga nondo kweli kweli unasubiri sasa kupongezwa?

Hiiiiii bagosha!

mbona ameuliza kwa uzuri tu shida nn mkuu
 
Back
Top Bottom