Kwanini Wapinzani hawavai Barakoa?

Kwanini Wapinzani hawavai Barakoa?

Naomba sababu, kwà nini wapinzani wote hawavai Barakoa kwenye mikusanyiko yao?

Miezi kaza iliyopita tuliona wanaharakati na wapinzani wakisisitiza Sana watu wavae Barakoa.

Naona sasa wamemuachia mama na waandamizi wake.
Mbowe kachoma chanjo.
Ww muige tu utamfuata baba yako meko
 
Mbowe kachoma chanjo.
Ww muige tu utamfuata baba yako meko
Kwani kuchoma chanjo unafikiri ndo mtu hawezi pata Covid? Anapata vizuri tu
JamiiForums631315397.jpg
 
Mafaniko yapi, Mbowe ana jumba Dubai wewe una nini ?

Mafanikio ni hata kuwa hai tu. Kumbe wewe unadhani hadi ujenge ghorofa?

Jifunze kujua namna ya kuhesabu mibaraka yako!
 
Naomba sababu, kwà nini wapinzani wote hawavai Barakoa kwenye mikusanyiko yao?

Miezi kaza iliyopita tuliona wanaharakati na wapinzani wakisisitiza Sana watu wavae Barakoa.

Naona sasa wamemuachia mama na waandamizi wake.
1623737871976.png
 
Mkuu kuwa serious na afya yako Corona haifai kabisa Kuna mtu Fulani alinanga Sana Leo imebaki story tu RIP
Yaani Corona haipendi dharau kabisa,alianza Nkurunzinza alileta dharau naye ikampitia,akaja kubwa la maadui akaleta dharau ikapita naye
 
Yaani Corona haipendi dharau kabisa,alianza Nkurunzinza alileta dharau naye ikampitia,akaja kubwa la maadui akaleta dharau ikapita naye
kweli magufuli aliwafanya vibaya 2020.yaani hamtakuja kumsahau nyumbu.
 
Naomba sababu, kwà nini Wapinzani wote hawavai Barakoa kwenye mikusanyiko yao?

Miezi kadhaa iliyopita tuliona Wanaharakati na Wapinzani wakisisitiza sana watu wavae Barakoa.

Naona sasa wamemuachia mama na waandamizi wake.
Za kuambiwa changanya na zako..!!
 
Back
Top Bottom