Kwanini Wapinzani hawavai Barakoa?

Kwanini Wapinzani hawavai Barakoa?

Nchi hii imejaaa watu WANAFIKIIII. Hapo huwezi kuwasikia kina Maria Sarungi wanaongelea Barakoa.

Maana wao wenyewe hawajui wanaamini kwenye nini.
Katika watu wanafiki now tz ni huyo Maria na mwenzake Fatuma, eti nao wanajiita wanaharakati, huo uharakati wao hata haueleweki ni katika nini. Halafu ni watoto wa viongozi wakubwa tu, ukiacha hilo umri wao na wayafanyayo haviendani kabisa. Fatuma kwa sasa kakimbia ACT anaisapoti CDM
 
Mbona sugu anavaa sana kwan sio mpinzan?
Huwa Ni fashion tu kama sehemu ya mapambo katika mavazi na ndio maana huko mahakamani hakuvaa leo alikuwa anamuangalia tu Mbowe na barakoa yake.
 
mbona ameuliza kwa uzuri tu shida nn mkuu

Kwamba kauliza kwa nia njema?

IMG_20210615_062030_649.jpg

Nia njema iko wapi hapo?

Hakuiona nia njema niliyomwandikia nayo?

No wonder hajui hata kama anahitaji katiba mpya au la!
 
Nchi hii imejaaa watu WANAFIKIIII. Hapo huwezi kuwasikia kina Maria Sarungi wanaongelea Barakoa.

Maana wao wenyewe hawajui wanaamini kwenye nini.

Hiyo ilikuwa picha ya lini mkuu.

Kumbuka tamko la serikali ni la jana tu. Kabla ya jana hata mwenye tamko alituhamasisha sana kwa nyungu, malimao na mi chai chai.

Bila tarehe mkuu huu utakuwa utopolo mwingine kama wa Veronica tu.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
aliambiwa aseme SUUU na kiwangwala mpaka leo mdomo mzito
Maria Ni mtu ambaye anapenda league tu bila hata kujua anaamini kwenye nini. Yule kweli ni mjaluo.

Utashangaa leo anampinga mtu fulani kwa kushirikiana na mfumo na wakati huo huo yuko bega kwa bega na baba yake ambaye ni mnufaika wa mfumo mbovu huo huo.

Utamuona anawaponda kiina Diamond kwa kukaa kimya ili kulinda maslahi yao, ila na wengine kina Togolani Mavura waliokaa kimya, waneteuliwa ubalozi kawapongeza.

Yaani wao wanaangalia nani ni nani.

Nchi hii amini kichwa chako tu.
 
Hiyo ilikuwa picha ya lini mkuu.

Kumbuka tamko la serikali ni la jana tu. Kabla ya jana hata mwenye tamko alituhamasisha sana kwa nyungu, malimao na mi chai chai.

Bila tarehe mkuu huu utakuwa utopolo mwingine kama wa Veronica tu.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Kwahiyo CHADEMA wanafuata matamko ya serikali ?
 
Wapinzani hasa Chadema wana akili sawa na za nyumbu. Wanaongelea hili muda huu na ukimpa tu mgongo ashasahau alikiwa anapings nini au anaunga mkono nini?
Kwani wale waliohimiza kupiga nyungu mbona hamuwasemi?
 
Utawaweza hao ka kitu kwaiyo ni kwenda against tu kipindi nchi haivai wao walikuwa wanavaaa sasa hivi nchi inavaa wenyewe hawavai yani wanapenda ligi utadhani bundasiliga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila cha muhimu uhai tu
Mbona nyie wenyewe mapenda nyungu, au nyungu mmeiacha, wapuuzi mlikuwa mnapangiwa na mtu mmoja tu na Muumba akapiga palepale wote mnavaa barakoa mlizoaminishwa ni za mabeberu zina virusi nyambafu
 
Kwahiyo wataalamu wamesema hakuna kuvaa barakoa ?

Kuanzia jana tumeshauriwa na wataalamu kuvaa barakoa. Jibu swali sasa picha yako uliyoleta ni ya lini "wacha sugu wee?"
 
Mangiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

😂😂😂😂😂😂! Usikonde mkuu kuwavumilia tumewavumilia sana.

Hatutaki kurudi uhuru stadium karibuni labda tu kwa mipango ya Mungu. Kumbuka:

Pana vifo vya aina 4:

1. Uzee (wa miaka ma Mia wako hapa)
2. Vya kusababishwa na kusababishiwa (wa kwenye viroba wako hapa)
3. Mapenzi ya Mungu (vya kina Nyerere viko hapa).
4. Vya kijinga (kudharau corona vipo hapa).


Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Back
Top Bottom