Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mbowe kachoma chanjo.Naomba sababu, kwà nini wapinzani wote hawavai Barakoa kwenye mikusanyiko yao?
Miezi kaza iliyopita tuliona wanaharakati na wapinzani wakisisitiza Sana watu wavae Barakoa.
Naona sasa wamemuachia mama na waandamizi wake.
Mkuu hapa sio agha khan nami niwahi tako oohhh sorry niwahi chanjo?
Waulize wahusika, vipi ninyi malipo yamesitishwa?Unayasikia wapi hayo kwani buku 7 bado mnaendelea kulipwa?
Waulize wahusika, vipi ninyi malipo yamesitishwa?
Kwa magufuli tulipigwaNaskia walishachanjwa nyuma huko
Mafaniko yapi, Mbowe ana jumba Dubai wewe una nini ?Pole pole yuko accessible kwenu. Kwetu tuko kizalendo zaidi.
Hatuhitaji malipo na hii ndiyo siri ya mafanikio yetu.
Kwani kuchoma chanjo unafikiri ndo mtu hawezi pata Covid? Anapata vizuri tuMbowe kachoma chanjo.
Ww muige tu utamfuata baba yako meko
Mafaniko yapi, Mbowe ana jumba Dubai wewe una nini ?
Kwahiyo CDM ndio inakupa uhai ?Mafanikio ni hata kuwa hai tu. Kumbe wewe unadhani hadi ujenge ghorofa?
Jifunze kujua namna ya kuhesabu mibaraka yako!
Kwahiyo CDM ndio inakupa uhai ?
Naomba sababu, kwà nini wapinzani wote hawavai Barakoa kwenye mikusanyiko yao?
Miezi kaza iliyopita tuliona wanaharakati na wapinzani wakisisitiza Sana watu wavae Barakoa.
Naona sasa wamemuachia mama na waandamizi wake.
Kwani kuchoma chanjo unafikiri ndo mtu hawezi pata Covid? Anapata vizuri tu
View attachment 1819149
Yaani Corona haipendi dharau kabisa,alianza Nkurunzinza alileta dharau naye ikampitia,akaja kubwa la maadui akaleta dharau ikapita nayeMkuu kuwa serious na afya yako Corona haifai kabisa Kuna mtu Fulani alinanga Sana Leo imebaki story tu RIP
kweli magufuli aliwafanya vibaya 2020.yaani hamtakuja kumsahau nyumbu.Yaani Corona haipendi dharau kabisa,alianza Nkurunzinza alileta dharau naye ikampitia,akaja kubwa la maadui akaleta dharau ikapita naye
Za kuambiwa changanya na zako..!!Naomba sababu, kwà nini Wapinzani wote hawavai Barakoa kwenye mikusanyiko yao?
Miezi kadhaa iliyopita tuliona Wanaharakati na Wapinzani wakisisitiza sana watu wavae Barakoa.
Naona sasa wamemuachia mama na waandamizi wake.
Nina Cheti cha Nidhamu Form Four halafu unasema sina malezi bora? Pumbavu!!!Nyumbu mama yako aliyekunyima malezi bora
Sasa kwa nini wewe umechoma?Kwani kuchoma chanjo unafikiri ndo mtu hawezi pata Covid? Anapata vizuri tu
View attachment 1819149