Kwanini wapinzani wanapenda kutumia media za nje kuzungumzia mambo yetu ‘ya ndani’?

Unafikiri media za Tz ziko huru?
Je wapinzani wakihojiwa na media za nje ulitaka wakimbie?
Je walichoongea kwny hizo media ni kuhusu uchumi?
Kwa hiyo walienda kuwaambia habari za ndege, sgr na stigler's gorge? Kwamba kwenye kutekeleza miradi hiyo kuna siri za kiuchumi?
Mim najua walizungumza habari za watu kutekwa, kuuwawa, kuzushiwa makesi, vyombo husika kushindwa kkufanya uchunguzi na kutoa majibu ya matukio ya kihalifu eg Lissu kupigwa risasi akiwa maeneo rasmi ya serekali yenye ulinzi, kuuwawa kwa kina Mwangosi, Mawazo Akwilina etc. Vilevile media za Tz kuogopeshwa kufanya coverage ya shughuli za kisiasa za vyama vya upinzani ma tv ya taifa kumilikiwa na ccm.
 
[QUOTE="post: 3625
Mexicana, siku hizi kila ndege ikitoka kwa Wazungu na kutua KIA, mh. Waziri wetu wa utalii anatupa taarifa ya idadi ya wazungu!! Wazungu ni wazuri kuliko ‘WAJUMBE’!
[/QUOTE]
👍👏👏👏
 
Kwa iyo tusubili kumsikiliza akiongea TBC?? Na ni ln aliwai sikika uko??
Pale kalamba magarasa
Advantage kwa Kenya kuhusu chokochoko ya Covid-19 na Tanzania.

Moral Disadvantage kwake, kwani wapiga kura ni wa Tanzania walioshikamana kizalendo kwa hilo.
 
safi sana hii anaonyesha ni mtu wa watu, anakula mahindi na wananchi, anachangia ujenzi wa vyoo vya shule...

07/08/2020, karne ya 21, watu wanakwenda mwezini, mars, 5G nk
Wanakwenda mwezini huko US na kwingineko kwenye maendeleo makubwa ya kisayansi.

Sisi na majirani Kenya ndio tunajenga reli za umeme huko mwezini bado sana mkuu.
 
Media za ndani ndio zinawakwepa...Media za ndani ni TAKATAKA.

Imagine juzi mkutano Mkuu wa ACT, itv wamemzimia Lissu maiki
 
Vyombo ya ndani vinatatizo la sauti wakiongea sauti haisikiki, tena pale wakigonga kwenye msumari sauti ya mwisho ni ya yule anaye hitimisha habari 'when they heat on the nail no voice which comes out'
 
Wewe unaonaje tangu kipenga kipulizwe ushaona vyombo vya ndani vinatoa airtime kwa usawa kwa wapinzani?
 
Vyombo vyetu vimeingia woga kutoa habari Kama zilivyo ,hivyo Hilo si Jambo la kushangaa,kwa asie elewa pekee ndie atakae shangaa.
 
Azam tv yafuta post zake haraka zilikuwa zikiimuonyesha Tundu Lissu alichukua fomu Dodoma

Haya bado utashangaa..!? Unadhani wapo huru kuandika wakitakacho ilimradi hawavunji sheria...!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…