Kwanini wapinzani wanapenda kutumia media za nje kuzungumzia mambo yetu ‘ya ndani’?

Sasa imekuwa kama imehalalishwa vile kwa viongozi wa upinzani kuvikacha vyombo vya habari vya ndani na kukimbilia media za nje na za washindani wetu wa kiuchumi.

Alianza Zitto na zile fedha za kusaidia elimu ya watoto wa kike lakini kwa bahati nzuri WB wakamshushua na kumpuuza. Zitto aliitumia BBC badala ya media za ndani.

Sasa Tundu Lissu naye anayarudia makosa yaleyale, hivi kwanini mnakwepa media zetu?

Inakera sana.

Maendeleo hayana vyama!
Hapa hatuna media huru iliyobaki, zote zimebakia kuwa kasuku za mr jiwe
 
Uliza TBC kwa Nini wasiweke coverage habari za wapinzani ndio uje na swsli la kijinga hivi
 
Sasa imekuwa kama imehalalishwa vile kwa viongozi wa upinzani kuvikacha vyombo vya habari vya ndani na kukimbilia media za nje na za washindani wetu wa kiuchumi.

Alianza Zitto na zile fedha za kusaidia elimu ya watoto wa kike lakini kwa bahati nzuri WB wakamshushua na kumpuuza. Zitto aliitumia BBC badala ya media za ndani.

Sasa Tundu Lissu naye anayarudia makosa yaleyale, hivi kwanini mnakwepa media zetu?

Inakera sana.

Maendeleo hayana vyama!
Wanatafuta rizki Stop
 
Wamezoea kupumuliwa kwa nyuma ndo maana wanawapenda kama miungu wao
Ukiwa mnyonge wa beberu lazima uwe mtumwa na kila unachofanya lazima ajue,
Kwa hiyo yawezekana hayo ni moja ya masharti waliopewa,
Usifikiti neno la ushoga lilitamkwa kwa bahati mbaya,
Hawa watu si wa kuwapa nchi akili zao zimeshalegezwa tayari hawajui kama wapo Tanzania au ni ulaya.
 
johnthebaptist,

Mkuu nilikuwa nakuona ni mmoja ya wanajamii magreat thinker. Sasa ulitaka watumie vyombo vya habari vya wakati vimebanwa na serikali hili swali lako hata ukimuuliza mtoto wa form one anakujibu
Refer magazeti makini ya Tanzania Daima na Mwanahalisi kufungiwa kwa "kosa" la kuandika ukweli............

Wakati gazeti la Tanzanite likiandika habari za uchochezi kila siku, lakini likiachwa "kujimwambafai" kisa linamtukuza mfalme!

Unategemea johnthebaptist wapinzani watumie vyombo gani vya habari kama siyo vya nje, ambavyo havina "censorship' za kipuuzi kama media za hapa nchini?
 
Sasa imekuwa kama imehalalishwa vile kwa viongozi wa upinzani kuvikacha vyombo vya habari vya ndani na kukimbilia media za nje na za washindani wetu wa kiuchumi.

Alianza Zitto na zile fedha za kusaidia elimu ya watoto wa kike lakini kwa bahati nzuri WB wakamshushua na kumpuuza. Zitto aliitumia BBC badala ya media za ndani.

Sasa Tundu Lissu naye anayarudia makosa yaleyale, hivi kwanini mnakwepa media zetu?

Inakera sana.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa sababu mmevipiga marufuku vyombo vya habari vya hapa nchini
 
Ni sawa na kutumia kigezo cha kuficha siri ya NDOA kwa kumpiga mkeo na watoto wako kila siku.

Mara nyingi wanaovumilia huwa tunaishia kuwazika, lakini wanaovunja mwiko wa siri za NDOA ndio wanaookoka.

Geuza huo mfano uupeleke kwenye UZALENDO na UKANDAMIZWAJI WA HAKI ZA RAIA.
 
Usi
Usikwepeshe maneno waambie ukweli serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania haipendi kukosolewa na chombo chochote Cha Cha habari kitakachofanya hivyo kesi za kishamba au kubambikiziwa Kodi zitamhusu wao wanataka kusikia magufuli apokewa na mabilioni ya wananchi chato au CCM yavuna wanachadema milioni 700 katavi.
Mambo ya kiwendawazimu sana
FB_IMG_15967048134745784.jpg
 
Ukiwauliza sababu za msingi za itv kukata sauti siku lissu akiwa live pale kwenye mkatano wa act wazalendo, ukipata sababu za msingi utakuja kufuta uzi wako huuu mwenyew
 
Chombo chetu cha umma ni tbc, wanaopelekea kutumiwa kwa vyombo vya nje ni hawa ccm kukihodhi

Nadhani serikali iache kuzuia vyombo vya ndani kuandika na kutangaza mambo chanya ya wapinzani ...wakifanya hivyo hawatakuwa na haja ya kutumia au kuonewa huruma na media za kimataifa na kupewa nafasi ..
Technology imebadilika sana ...leo hii TV zote za kimataifa na nchi jirani ziko kwenye vingamuzi ...utawazuia watu ITV na tbc lakini hao hao wanaweza kutangazwa na TV za Kenya au Malawi na wakasikika .....ikumbukwe kuwa kwa TV za nchi jirani pia zinataka soko la viewers hapa kwetu kamaa ambavyo TV kama Azam, Clouds na East Africa zinataka soko la Kenya na Uganda .....hivyo kwao kutangaza habari za upinzani ni mbinu nzuri kwao kuingia kwenye soko letu la habari ....na kuanza kupata matangazo ya biashara ....na kuendelea kupunguza soko la TV zetu ..
Kuna kitu nimegundua TV kama Citizen na NTV zinatafuta sana soko la kuwa TV of choice Africa Mashariki ukitazama line up ya vipindi vyao wanaweka sana habari za Tanzania siku hizi na hata baadhi ya wasanii wa Tanzania wanapata fursa michezo yao kurushwa .....kuna watangazaji kama wa TBC mariam migomba naaye ana kipindi huko ...na inalipa ukifanya utafiti kwenye nyumba nyingi siku hizi waangalia TV za Kenya shame ...Azam Tv Ndio pekee wanaweza kuwapa ushindani
SO TBC na wengine kuwa biased kwenye habari wajuwe wanajiharibia wenyewe ....soko ni huria kama wananchi hawapendi contents simply wanabadilisha channels na kama channels za nyumbani zinatangaza same contents wanahama kwenda za nje ....hilo ni hatari kwetu kama taifa .....kutokuwa na command na coverage .
 
Sasa imekuwa kama imehalalishwa vile kwa viongozi wa upinzani kuvikacha vyombo vya habari vya ndani na kukimbilia media za nje na za washindani wetu wa kiuchumi.

Alianza Zitto na zile fedha za kusaidia elimu ya watoto wa kike lakini kwa bahati nzuri WB wakamshushua na kumpuuza. Zitto aliitumia BBC badala ya media za ndani.

Sasa Tundu Lissu naye anayarudia makosa yaleyale, hivi kwanini mnakwepa media zetu?

Inakera sana.

Maendeleo hayana vyama!
Wanabaniwa na vyombo vya ndani. Mfano ni ITV kukata sauti ya Lissu pale Mlimani city.
 
Kuna media yoyote ya ndani inayorusha matukio ya vyama vya upinzani? Mbona ccm kila uchao wanarushwa katika tv hizohizo huoni ni ubaguzi?
Juzi Lisu anaanza kuongea mitambo ikakata sauti (hapo ni chombo ambacho kilijitutumua kwenda kurusha live matangazo ya ACT ) ,mi naona mbinu hii ni sahihi na watangaze kabisa kwamba wataitumia KTN kurusha kampeni zao maana ni muhimu raia wajue mapema maana wakitegemea za bongo hawataonekana kabisa
Nchi inaongozwa kindezi Sana
 
Bwana Mkubwa anakula mahindi njiani halafu anatoa ahadi ya kuwajengea eneo zuri wafanyabiashara wa eneo hilo.

Anachangia ujenzi wa vyoo vya shule za msingi, ni mtu asiye na daraja kati yake na wananchi.

Hana kabisa superiority complex anapokuwa karibu na mwananchi mhangaikaji wa mtaani
 
Huku remote imepotea halafu channel imebaki moja tu...
 
Bwana Mkubwa anakula mahindi njiani halafu anatoa ahadi ya kuwajengea eneo zuri wafanyabiashara wa eneo hilo.

Anachangia ujenzi wa vyoo vya shule za msingi, ni mtu asiye na daraja kati yake na wananchi.

Hana kabisa superiority complex anapokuwa karibu na mwananchi mhangaikaji wa mtaani
Utakuwa DED wa busokelo.
 
Sasa imekuwa kama imehalalishwa vile kwa viongozi wa upinzani kuvikacha vyombo vya habari vya ndani na kukimbilia media za nje na za washindani wetu wa kiuchumi.

Alianza Zitto na zile fedha za kusaidia elimu ya watoto wa kike lakini kwa bahati nzuri WB wakamshushua na kumpuuza. Zitto aliitumia BBC badala ya media za ndani.

Sasa Tundu Lissu naye anayarudia makosa yaleyale, hivi kwanini mnakwepa media zetu?

Inakera sana.

Maendeleo hayana vyama!
Media zetu za ndani hazipo huru,wanatishwa sana na watawala,wanapangiwa nn waandike na nn wasiandike za wenzetu zipo huru kufanya kile wanachoamini na kama wakikosea wanapelekwa mahakamani ila kwetu ni rungu la msajili na faini za TCRA mahakamani utakwenda wewe baada ya kufungwiwa.
 
Bwana Mkubwa anakula mahindi njiani halafu anatoa ahadi ya kuwajengea eneo zuri wafanyabiashara wa eneo hilo.

Anachangia ujenzi wa vyoo vya shule za msingi, ni mtu asiye na daraja kati yake na wananchi.

Hana kabisa superiority complex anapokuwa karibu na mwananchi mhangaikaji wa mtaani

safi sana hii anaonyesha ni mtu wa watu, anakula mahindi na wananchi, anachangia ujenzi wa vyoo vya shule...

07/08/2020, karne ya 21, watu wanakwenda mwezini, mars, 5G nk
 
Sasa imekuwa kama imehalalishwa vile kwa viongozi wa upinzani kuvikacha vyombo vya habari vya ndani na kukimbilia media za nje na za washindani wetu wa kiuchumi.

Alianza Zitto na zile fedha za kusaidia elimu ya watoto wa kike lakini kwa bahati nzuri WB wakamshushua na kumpuuza. Zitto aliitumia BBC badala ya media za ndani.

Sasa Tundu Lissu naye anayarudia makosa yaleyale, hivi kwanini mnakwepa media zetu?

Inakera sana.

Maendeleo hayana vyama!
Wakati wa mapokezi yake, uliona vyombo gani vinaripoti hbr zake? Lkn anatumia vyombo vya nje au nao wanafanya coverage kama sehemu ya kazi zao?
 
Anachofanya Tundu Lissu ndio kinamuondolea credit kwa mashabiki wake, anawatumia watu ambao wapo against Magufuli regime akiamini watasaidia kuleta impact ndani hiyo ni very wrong strategy, haitomsaidia kuwa urais anapoteza muda.

NB:Lissu ataondoka, Magu ataondoka, uchaguzi zitaisha Tanzania itaendelea kuwepo, ila kumbukumbu zitabaki.

TUIPENDE NCHI YETU.
Afanyeje wakati hakuna media ya ndani inampa airtime?
 
Back
Top Bottom