ORCA ACE
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 1,449
- 1,708
Kwa mawazo ya mwenye akili kiduchu kama wewe
Dah Lissu leo kajifunga goli aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah Lissu leo kajifunga goli aisee
Hapa hatuna media huru iliyobaki, zote zimebakia kuwa kasuku za mr jiweSasa imekuwa kama imehalalishwa vile kwa viongozi wa upinzani kuvikacha vyombo vya habari vya ndani na kukimbilia media za nje na za washindani wetu wa kiuchumi.
Alianza Zitto na zile fedha za kusaidia elimu ya watoto wa kike lakini kwa bahati nzuri WB wakamshushua na kumpuuza. Zitto aliitumia BBC badala ya media za ndani.
Sasa Tundu Lissu naye anayarudia makosa yaleyale, hivi kwanini mnakwepa media zetu?
Inakera sana.
Maendeleo hayana vyama!
Wanatafuta rizki StopSasa imekuwa kama imehalalishwa vile kwa viongozi wa upinzani kuvikacha vyombo vya habari vya ndani na kukimbilia media za nje na za washindani wetu wa kiuchumi.
Alianza Zitto na zile fedha za kusaidia elimu ya watoto wa kike lakini kwa bahati nzuri WB wakamshushua na kumpuuza. Zitto aliitumia BBC badala ya media za ndani.
Sasa Tundu Lissu naye anayarudia makosa yaleyale, hivi kwanini mnakwepa media zetu?
Inakera sana.
Maendeleo hayana vyama!
Sasa imekuwa kama imehalalishwa vile kwa viongozi wa upinzani kuvikacha vyombo vya habari vya ndani na kukimbilia media za nje na za washindani wetu wa kiuchumi.
Alianza Zitto na zile fedha za kusaidia elimu ya watoto wa kike lakini kwa bahati nzuri WB wakamshushua na kumpuuza. Zitto aliitumia BBC badala ya media za ndani.
Sasa Tundu Lissu naye anayarudia makosa yaleyale, hivi kwanini mnakwepa media zetu?
Inakera sana.
Maendeleo hayana vyama!
Refer magazeti makini ya Tanzania Daima na Mwanahalisi kufungiwa kwa "kosa" la kuandika ukweli............johnthebaptist,
Mkuu nilikuwa nakuona ni mmoja ya wanajamii magreat thinker. Sasa ulitaka watumie vyombo vya habari vya wakati vimebanwa na serikali hili swali lako hata ukimuuliza mtoto wa form one anakujibu
Kwa sababu mmevipiga marufuku vyombo vya habari vya hapa nchiniSasa imekuwa kama imehalalishwa vile kwa viongozi wa upinzani kuvikacha vyombo vya habari vya ndani na kukimbilia media za nje na za washindani wetu wa kiuchumi.
Alianza Zitto na zile fedha za kusaidia elimu ya watoto wa kike lakini kwa bahati nzuri WB wakamshushua na kumpuuza. Zitto aliitumia BBC badala ya media za ndani.
Sasa Tundu Lissu naye anayarudia makosa yaleyale, hivi kwanini mnakwepa media zetu?
Inakera sana.
Maendeleo hayana vyama!
Mambo ya kiwendawazimu sanaUsi
Usikwepeshe maneno waambie ukweli serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania haipendi kukosolewa na chombo chochote Cha Cha habari kitakachofanya hivyo kesi za kishamba au kubambikiziwa Kodi zitamhusu wao wanataka kusikia magufuli apokewa na mabilioni ya wananchi chato au CCM yavuna wanachadema milioni 700 katavi.
Chombo chetu cha umma ni tbc, wanaopelekea kutumiwa kwa vyombo vya nje ni hawa ccm kukihodhi
Wanabaniwa na vyombo vya ndani. Mfano ni ITV kukata sauti ya Lissu pale Mlimani city.Sasa imekuwa kama imehalalishwa vile kwa viongozi wa upinzani kuvikacha vyombo vya habari vya ndani na kukimbilia media za nje na za washindani wetu wa kiuchumi.
Alianza Zitto na zile fedha za kusaidia elimu ya watoto wa kike lakini kwa bahati nzuri WB wakamshushua na kumpuuza. Zitto aliitumia BBC badala ya media za ndani.
Sasa Tundu Lissu naye anayarudia makosa yaleyale, hivi kwanini mnakwepa media zetu?
Inakera sana.
Maendeleo hayana vyama!
Nchi inaongozwa kindezi SanaKuna media yoyote ya ndani inayorusha matukio ya vyama vya upinzani? Mbona ccm kila uchao wanarushwa katika tv hizohizo huoni ni ubaguzi?
Juzi Lisu anaanza kuongea mitambo ikakata sauti (hapo ni chombo ambacho kilijitutumua kwenda kurusha live matangazo ya ACT ) ,mi naona mbinu hii ni sahihi na watangaze kabisa kwamba wataitumia KTN kurusha kampeni zao maana ni muhimu raia wajue mapema maana wakitegemea za bongo hawataonekana kabisa
Utakuwa DED wa busokelo.Bwana Mkubwa anakula mahindi njiani halafu anatoa ahadi ya kuwajengea eneo zuri wafanyabiashara wa eneo hilo.
Anachangia ujenzi wa vyoo vya shule za msingi, ni mtu asiye na daraja kati yake na wananchi.
Hana kabisa superiority complex anapokuwa karibu na mwananchi mhangaikaji wa mtaani
Media zetu za ndani hazipo huru,wanatishwa sana na watawala,wanapangiwa nn waandike na nn wasiandike za wenzetu zipo huru kufanya kile wanachoamini na kama wakikosea wanapelekwa mahakamani ila kwetu ni rungu la msajili na faini za TCRA mahakamani utakwenda wewe baada ya kufungwiwa.Sasa imekuwa kama imehalalishwa vile kwa viongozi wa upinzani kuvikacha vyombo vya habari vya ndani na kukimbilia media za nje na za washindani wetu wa kiuchumi.
Alianza Zitto na zile fedha za kusaidia elimu ya watoto wa kike lakini kwa bahati nzuri WB wakamshushua na kumpuuza. Zitto aliitumia BBC badala ya media za ndani.
Sasa Tundu Lissu naye anayarudia makosa yaleyale, hivi kwanini mnakwepa media zetu?
Inakera sana.
Maendeleo hayana vyama!
Bwana Mkubwa anakula mahindi njiani halafu anatoa ahadi ya kuwajengea eneo zuri wafanyabiashara wa eneo hilo.
Anachangia ujenzi wa vyoo vya shule za msingi, ni mtu asiye na daraja kati yake na wananchi.
Hana kabisa superiority complex anapokuwa karibu na mwananchi mhangaikaji wa mtaani
Wakati wa mapokezi yake, uliona vyombo gani vinaripoti hbr zake? Lkn anatumia vyombo vya nje au nao wanafanya coverage kama sehemu ya kazi zao?Sasa imekuwa kama imehalalishwa vile kwa viongozi wa upinzani kuvikacha vyombo vya habari vya ndani na kukimbilia media za nje na za washindani wetu wa kiuchumi.
Alianza Zitto na zile fedha za kusaidia elimu ya watoto wa kike lakini kwa bahati nzuri WB wakamshushua na kumpuuza. Zitto aliitumia BBC badala ya media za ndani.
Sasa Tundu Lissu naye anayarudia makosa yaleyale, hivi kwanini mnakwepa media zetu?
Inakera sana.
Maendeleo hayana vyama!
Afanyeje wakati hakuna media ya ndani inampa airtime?Anachofanya Tundu Lissu ndio kinamuondolea credit kwa mashabiki wake, anawatumia watu ambao wapo against Magufuli regime akiamini watasaidia kuleta impact ndani hiyo ni very wrong strategy, haitomsaidia kuwa urais anapoteza muda.
NB:Lissu ataondoka, Magu ataondoka, uchaguzi zitaisha Tanzania itaendelea kuwepo, ila kumbukumbu zitabaki.
TUIPENDE NCHI YETU.