Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Mkuu,Akili zao sasa zinafanana na yale mabwanga wanayo vaa
Embu pata Glass ya maji kwanza upoze koo ☺️😊
Kila comment zako zina makasiriko sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,Akili zao sasa zinafanana na yale mabwanga wanayo vaa
Mkuu,
Embu pata Glass ya maji kwanza upoze koo ☺️😊
Kila comment zako zina makasiriko sanaa
Kufaulu shule darasani sio kujitambua
Kujitambua ni jambo tofauti na kufaulu darasani
Masomo hutegemea mazingira zaidi na kuwa motive.
Ukitazama watu walioenda shule hapa Tz maisha yao bado hajaleta maana kwao hadi kwa jamii.
Kujitambua (sense of you who are) nikiwango cha juu Sana cha ufahamu hubebwa na mambo mengi ikiwemo hekima n.k
Unaweza kuwa hadi na PhD Ila ukawa hujitambui kujitamhua sio jambo jepesi
Watu wanaojitambua ni wachache sana
That's why pretty women can be smarter as well ugly woman can fail to be sober sound.
Kujitambua ndo ELIMU ya juu zaidi unfortunately hauwezi kuipata SHULE .
Akili ni kusolve problem haijalishi anavaa pensi au bwangaa uwez kutambua uwezo wa mtu kwa kuvaa ila una hisi tu una data sahihi inakuhitaj u track maisha yake at least 1yr utapata majibu sahihi bila data ni uwongo.. ukiwa na data unaweza kutabiri na kutambua huyu mtu ni mjinga kuanzia saiv hadi next 5yr.. ila watu wanabadilika this year kilaza next 5yr ata wewe utaonekana mwehu..
Ni Kweli kabisa unachosema, shuleni nilikuwa nasoma na mabinti warembo Sana ila wengi walikuwa vilaza kupindukia😂
Adabu ninayo, ila hilo jambo lina uhalisia mkubwaKua na adabu kijana