Kwanini warembo na mabarobaro wengi ni vilaza?

Kujitambua kwa mwanafunzi ni kujua yupo wapi na ana majukumu gani na wajibu gani, akishindwa kufanya hivyo huyo anakuwa hajitambui katika engo ya Elimu.

Kujitambua kuna maana tofauti kulingana na jambo linalo muhusu muhusika
 
Ni sawa watu wanabadilika, lakini kumbuka nyota njema huonekana asubuhi
 
Ni Kweli kabisa unachosema, shuleni nilikuwa nasoma na mabinti warembo Sana ila wengi walikuwa vilaza kupindukia😂
 
Ni Kweli kabisa unachosema, shuleni nilikuwa nasoma na mabinti warembo Sana ila wengi walikuwa vilaza kupindukia😂

Mkuu hata mpaka sasa bado warembo wengi hakuna kitu kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…