Kwanini wasanii hawajitokezi kulaani alichofanyiwa ‘SUGU’ na polisi au hakiwahusu.

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Sugu yupo hospitali mahututi baada ya kuumizwa na polisi walioagizwa na Kamisha wa Operesheni na Mafunzo Awadhi Juma Haji.

Sugu ni msanii wa nyimbo za hip hop aliyewainua wasanii wengi, lkn cha ajabu sijaona wala kusikia wasanii wenzake au Baraza la Sanaa likilaani kitendo alichofanyiwa mwenzao.

Ki ubinadamu hii sio sawa kabisa.

1723716151113.png
 
B

View attachment 3070678

Bongo hamna wasanii, kuna kikundi cha watu maarufu
 
Sugu yupo hospitali mahututi baada ya kuumizwa na polisi walioagizwa na Kamisha wa Operesheni na Mafunzo Awadhi Juma Haji.

Sugu ni msanii wa nyimbo za hip hop aliyewainua wasanii wengi, lkn cha ajabu sijaona wala kusikia wasanii wenzake au Baraza la Sanaa likilaani kitendo alichofanyiwa mwenzao.

Ki ubinadamu hii sio sawa kabisa.

View attachment 3070678
Wako CCM!
Hiko kitendo alifanyiwa sababu ya kazi zake za usanii au kama mfanyabiashara au mwanasiasa??
Hili swali la iq zero!
 
Sugu ni msanii wa nyimbo za hip hop aliyewainua wasanii wengi, lkn cha ajabu sijaona wala kusikia wasanii wenzake au Baraza la Sanaa likilaani kitendo alichofanyiwa mwenzao.
Wasanii wanasubiri tenda ya kuzunguka na wagombea mwakani, wakitoa tamko tenda itaota mbawa
 
Sugu yupo hospitali mahututi baada ya kuumizwa na polisi walioagizwa na Kamisha wa Operesheni na Mafunzo Awadhi Juma Haji.

Sugu ni msanii wa nyimbo za hip hop aliyewainua wasanii wengi, lkn cha ajabu sijaona wala kusikia wasanii wenzake au Baraza la Sanaa likilaani kitendo alichofanyiwa mwenzao.

Ki ubinadamu hii sio sawa kabisa.

View attachment 3070678
Uunajua moja ya majukumu ya polisi nikuangalia usalama wa nchi sasa wakitekeleza majukumu yao nyinyi mnachukia tena acheni siasa kwenye suala la usalama wa nchi yetu
 
Hayo mambo ni Nigeria na Kenya, kwa hapa Tanzania sio wasanii tu, hata wafanyabiashara, wanamichezo au watu waliopo kwenye vyeo vikubwa haswa katika makampuni makubwa. Huwezi kuwaona wanakemea chochote against serikali

Na hii sio issue ya kisiasa Ila ni kwa ajili ya kulinda reputation lakini pia kutoondoa uhusiano mzuri na serikali.

Na hii sio issue ya juu tu, inaanzia toka ngazi ya chini ya familia. Unakuta baba humruhusu mtu yoyote kukuhoji au kukuweka responsible pale unapokosea. So mtoto anaelelewa katika makuzi hayo, atapata wapi ujasiri wa kuikemea serikali?..
 
Hiko kitendo alifanyiwa sababu ya kazi zake za usanii au kama mfanyabiashara au mwanasiasa??
Haijalishi kulaani kitu kibaya au kumtembelea mgonjwa au kumpa pole sio lazima ujue aliumia kwa sababu gani.
 
Sugu yupo hospitali mahututi baada ya kuumizwa na polisi walioagizwa na Kamisha wa Operesheni na Mafunzo Awadhi Juma Haji.

Sugu ni msanii wa nyimbo za hip hop aliyewainua wasanii wengi, lkn cha ajabu sijaona wala kusikia wasanii wenzake au Baraza la Sanaa likilaani kitendo alichofanyiwa mwenzao.

Ki ubinadamu hii sio sawa kabisa.

View attachment 3070678
Mbona Soggy Dog kalaani
 
Kwanini umeiweka kwenye jukwaa la siasa na sio la burudani. Sababu hiyo hiyo ilokufanya uilete huku ndio hiyohiyo inayowafanya wanamuziki wakae mbali na sakata hili. Ingekuwa kapata madhila hayo kwenye harakati za muziki wasanii wangejitokeza kwa wingi kukemea.
 
Hajapigwa kama msanii kapigwa kama mwana harakati, huyu naye usela mwingi hata kwenye mambo muhimu. Atakuwa kafungua domo kuwatukana watu wakampa dawa. Kapigwa sura safi tu maana yoyote anaweza kulala akapigwa picha akaamka haina shida watoe taarifa ya Dr.
 
Kwanini umeiweka kwenye jukwaa la siasa na sio la burudani. Sababu hiyo hiyo ilokufanya uilete huku ndio hiyohiyo inayowafanya wanamuziki wakae mbali na sakata hili. Ingekuwa kapata madhila hayo kwenye harakati za muziki wasanii wangejitokeza kwa wingi kukemea.
Huwezi kuwa na fani moja tu katika maisha lazima uwe na fani zaidi ya moja ikifeli hii unaenda na ile.

Diamond ni msanii lkn ana biashara ya karanga na media.
 
Back
Top Bottom