gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Sugu alimtia punch afande bungeni akavimba jicho,so polisi juzi walikua wanalipa,wasanii hawaingilii siasaSugu yupo hospitali mahututi baada ya kuumizwa na polisi walioagizwa na Kamisha wa Operesheni na Mafunzo Awadhi Juma Haji.
Sugu ni msanii wa nyimbo za hip hop aliyewainua wasanii wengi, lkn cha ajabu sijaona wala kusikia wasanii wenzake au Baraza la Sanaa likilaani kitendo alichofanyiwa mwenzao.
Ki ubinadamu hii sio sawa kabisa.
View attachment 3070678