Sugu yupo hospitali mahututi baada ya kuumizwa na polisi walioagizwa na Kamisha wa Operesheni na Mafunzo Awadhi Juma Haji.
Sugu ni msanii wa nyimbo za hip hop aliyewainua wasanii wengi, lkn cha ajabu sijaona wala kusikia wasanii wenzake au Baraza la Sanaa likilaani kitendo alichofanyiwa mwenzao.
Ki ubinadamu hii sio sawa kabisa.
View attachment 3070678
Bongo hamna wasanii, kuna kikundi cha watu maarufuSugu yupo hospitali mahututi baada ya kuumizwa na polisi walioagizwa na Kamisha wa Operesheni na Mafunzo Awadhi Juma Haji.
Sugu ni msanii wa nyimbo za hip hop aliyewainua wasanii wengi, lkn cha ajabu sijaona wala kusikia wasanii wenzake au Baraza la Sanaa likilaani kitendo alichofanyiwa mwenzao.
Ki ubinadamu hii sio sawa kabisa.
View attachment 3070678
Wako CCM!Sugu yupo hospitali mahututi baada ya kuumizwa na polisi walioagizwa na Kamisha wa Operesheni na Mafunzo Awadhi Juma Haji.
Sugu ni msanii wa nyimbo za hip hop aliyewainua wasanii wengi, lkn cha ajabu sijaona wala kusikia wasanii wenzake au Baraza la Sanaa likilaani kitendo alichofanyiwa mwenzao.
Ki ubinadamu hii sio sawa kabisa.
View attachment 3070678
Hili swali la iq zero!Hiko kitendo alifanyiwa sababu ya kazi zake za usanii au kama mfanyabiashara au mwanasiasa??
Wasanii wanasubiri tenda ya kuzunguka na wagombea mwakani, wakitoa tamko tenda itaota mbawaSugu ni msanii wa nyimbo za hip hop aliyewainua wasanii wengi, lkn cha ajabu sijaona wala kusikia wasanii wenzake au Baraza la Sanaa likilaani kitendo alichofanyiwa mwenzao.
Uunajua moja ya majukumu ya polisi nikuangalia usalama wa nchi sasa wakitekeleza majukumu yao nyinyi mnachukia tena acheni siasa kwenye suala la usalama wa nchi yetuSugu yupo hospitali mahututi baada ya kuumizwa na polisi walioagizwa na Kamisha wa Operesheni na Mafunzo Awadhi Juma Haji.
Sugu ni msanii wa nyimbo za hip hop aliyewainua wasanii wengi, lkn cha ajabu sijaona wala kusikia wasanii wenzake au Baraza la Sanaa likilaani kitendo alichofanyiwa mwenzao.
Ki ubinadamu hii sio sawa kabisa.
View attachment 3070678
Haijalishi kulaani kitu kibaya au kumtembelea mgonjwa au kumpa pole sio lazima ujue aliumia kwa sababu gani.Hiko kitendo alifanyiwa sababu ya kazi zake za usanii au kama mfanyabiashara au mwanasiasa??
Wallah bilah watalah wewe ni Profesa Kabudi wewe😅Hiko kitendo alifanyiwa sababu ya kazi zake za usanii au kama mfanyabiashara au mwanasiasa??
Mbona Soggy Dog kalaaniSugu yupo hospitali mahututi baada ya kuumizwa na polisi walioagizwa na Kamisha wa Operesheni na Mafunzo Awadhi Juma Haji.
Sugu ni msanii wa nyimbo za hip hop aliyewainua wasanii wengi, lkn cha ajabu sijaona wala kusikia wasanii wenzake au Baraza la Sanaa likilaani kitendo alichofanyiwa mwenzao.
Ki ubinadamu hii sio sawa kabisa.
View attachment 3070678
Kwanini umeiweka kwenye jukwaa la siasa na sio la burudani. Sababu hiyo hiyo ilokufanya uilete huku ndio hiyohiyo inayowafanya wanamuziki wakae mbali na sakata hili. Ingekuwa kapata madhila hayo kwenye harakati za muziki wasanii wangejitokeza kwa wingi kukemea.Sugu yupo hospitali mahututi baada ya kuumizwa na polisi walioagizwa na Kamisha wa Operesheni na Mafunzo Awadhi Juma Haji.
Sugu ni msanii wa nyimbo za hip hop aliyewainua wasanii wengi, lkn cha ajabu sijaona wala kusikia wasanii wenzake au Baraza la Sanaa likilaani kitendo alichofanyiwa mwenzao.
Ki ubinadamu hii sio sawa kabisa.
View attachment 3070678
Huwezi kuwa na fani moja tu katika maisha lazima uwe na fani zaidi ya moja ikifeli hii unaenda na ile.Kwanini umeiweka kwenye jukwaa la siasa na sio la burudani. Sababu hiyo hiyo ilokufanya uilete huku ndio hiyohiyo inayowafanya wanamuziki wakae mbali na sakata hili. Ingekuwa kapata madhila hayo kwenye harakati za muziki wasanii wangejitokeza kwa wingi kukemea.