Kwanini wasanii hawajitokezi kulaani alichofanyiwa ‘SUGU’ na polisi au hakiwahusu.

Sugu alimtia punch afande bungeni akavimba jicho,so polisi juzi walikua wanalipa,wasanii hawaingilii siasa
 
Huwezi kuwa na fani moja tu katika maisha lazima uwe na fani zaidi ya moja ikifeli hii unaenda na ile.

Diamond ni msanii lkn ana biashara ya karanga na media.
Post sasa hiki kitu jukwaa la burudani na celebrities ndiko wasanii waliko. Kama ni la kisiasa liache libaki hapa na usiwalaumu wasanii ila laumu watz kwa ujumla waloshindwa kukemea uovu huu
 
Post sasa hiki kitu jukwaa la burudani na celebrities ndiko wasanii waliko. Kama ni la kisiasa liache libaki hapa na usiwalaumu wasanii ila laumu watz kwa ujumla waloshindwa kukemea uovu huu
Sugu ni mwanasiasa na msanii kupost jukwaa la siasa au celebrities haiondoi maana ya kuwa kaumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…