Kwanini wasanii hawamuigi Diamond?

Kwanini wasanii hawamuigi Diamond?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Nilifikiri standards alizoweka Diamond ndo zinatakiwa kuigwa na kila msanii.
yaani waanzie alipo Diamond halafu ndo waongeze ya kwao

cha kushangaza unakuta msanii...yuko yuko tu
hakuna dancers,hakuna mavazi maalum
hakuna mbwembwe ya aina yoyote

yaani bado kuna wasanii wanawaficha hata wapenzi wao
nilifikiri Diamond kawaonesha namna ya kuwa star...watajifunza but wapi..

Tatizo liko wapi?
 
Bado wapo kkoo wanashughilikia fake CDs

Psalm 133:1[emoji768] "Behold, how good and how pleasant it is for brethren to dwell together in unity."
 
wapo, tena wengine nipo nao hapa nilipo now, wanaakili za kitoto toto sana, tena za kizamani sana!
 
Saivi Diamond Ana Wake Wawili Kila Mtoto Na Mama Yake Mafanikio Makubwa Sana
 
wapo, tena wengine nipo nao hapa nilipo now, wanaakili za kitoto toto sana, tena za kizamani sana!

Nimeona interview ya Bill Nas anamkataa Nandy mpenzi wake nikashangaa
mbona Diamond alimfanya Wema kama mwanamke fulani very very special
hawajifunzi?
 
Monkey see, monkey do!

Wengine tunaweza kuhoji kwa nini wamuige huyo Diamond?

Kwani wao hawawezi ku chart courses zao wenyewe?

Kilichofanikiwa kwa Diamond siyo blueprint ya mafanikio ya wengine.

So ni heri wakabaki kwenye njia zao kuliko kumuiga Diamond.
 
Kuna vitu viko so obvious
walivifanya kabla ya Diamond havikuwasaidia

Mfano msanii anapanda jukwaani alone
anaimba imba tu ..hata supporting artists hana..

Wakiweza ku chart wenyewe ni better but sioni dalili
 
Kila mtu na mipango yake.

Ni heri wawe wabunifu kuliko kuwa waigilizaji wa swaga za Diamond.
 
Sasa kama swaga siyo za Diamond kwa nini umeuliza kwa nini wasanii hawamuigi Diamond?

Diamond kazijali na kuzipa umuhimu kiasi inaonekana kama za kwake
but zipo tu miaka mingi

kwa TZ Diamond ndo rahisi kumtolea mifano
siwezi sema Chris Brown ...au MJ...
Diamond ni rahisi zaidi wao kumfuata
 
Wamuige ili iweje , ata darasani mkiambiwa agianane yupo mtu tu ataiga adi jina la mtu , ili mziki uwe mziki lazma kuwe na wanamzika bora na bora mwanamziki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujamfikia Diamond kwa kuuza CD's au kiuwezo, lazima ujiulize na kuiga zile pts muhimu, hii ipo kwenye fani zote..Hata ukiwauliza music artists wa USA lazima waliiga 2 au 3 kwa kina MJ, Pdiddy, Tupac n.k.
Lazima uige kivyako vyako ufanikiwe nawe..
 
Back
Top Bottom