wapo, tena wengine nipo nao hapa nilipo now, wanaakili za kitoto toto sana, tena za kizamani sana!
Monkey see, monkey do!
Wengine tunaweza kuhoji kwa nini wamuige huyo Diamond?
Kwani wao hawawezi ku chart courses zao wenyewe?
Kilichofanikiwa kwa Diamond siyo blueprint ya mafanikio ya wengine.
So ni heri wakabaki kwenye njia zao kuliko kumuiga Diamond.
Kuna vitu viko so obvious
walivifanya kabla ya Diamond havikuwasaidia
Mfano msanii anapanda jukwaani alone
anaimba imba tu ..hata supporting artists hana..
Wakiweza ku chart wenyewe ni better but sioni dalili
Kila mtu na mipango yake.
Ni heri wawe wabunifu kuliko kuwa waigilizaji wa swaga za Diamond.
Sasa kama swaga siyo za Diamond kwa nini umeuliza kwa nini wasanii hawamuigi Diamond?Hata Diamond sio owner wa hizo swaga
zipo kwenye industry siku nyingi only Diamond kazifanyia kazi inavyostahili
Wao wanapaswa kuzipa umuhimu kama Diamond alivyozipa umuhimu..
Sasa kama swaga siyo za Diamond kwa nini umeuliza kwa nini wasanii hawamuigi Diamond?
Lets how he chews that one though i bet this question has the thread killed !Sasa kama swaga siyo za Diamond kwa nini umeuliza kwa nini wasanii hawamuigi Diamond?