Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Diamond kazijali na kuzipa umuhimu kiasi inaonekana kama za kwake
but zipo tu miaka mingi
kwa TZ Diamond ndo rahisi kumtolea mifano
siwezi sema Chris Brown ...au MJ...
Diamond ni rahisi zaidi wao kumfuata
Hayo mambo mara nyingi huendana na personality ya mtu.
Na si wote wanaopenda publicity...kila aina ya publicity.
Si kila msanii anataka au anapenda kuwa gumzo kuhusu maisha yake binafsi, kwa mfano.
Cha muhimu ni wao kuridhika na walipofikia na wao kuwa wao [being themselves].
Nilivyomuelewa Mleta uzi...sio lazima kuiga ile ya kuiiiiiga kila kitu.Monkey see, monkey do!
Wengine tunaweza kuhoji kwa nini wamuige huyo Diamond?
Kwani wao hawawezi ku chart courses zao wenyewe?
Kilichofanikiwa kwa Diamond siyo blueprint ya mafanikio ya wengine.
So ni heri wakabaki kwenye njia zao kuliko kumuiga Diamond.
Sidhani kama msanii anapanda jukwaani na nguo zile zile ulizomuona nazo
akipita nazo mtaani...utasema ni personality tu ya mtu
huku mwingine akipanga kabisa nguo za steji na za mtaani..
nafikiri kuna kujali au kukosa ushauri...
Hata huko kwa kina MJ na Chriss Brown kuna ma stylists...na handlers wa kila aina
wa kumsdaidia msanii
huwezi sema tu mimi najifanyia nnavyojua
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji119][emoji119][emoji119][emoji106][emoji106]I hope umeelewa niliposema 'standards 'alizoweka diamond....
sijasema wafanye exactly kama diamond...but kuna vitu unategemea
ni new standard ifuatwe na wengine
Kwa hiyo?Wengi aisee
kama ulitazama lile tamasha la Komaa concert
yaani wengine ilikuwa kama wametoka jogging straight jukwaani
hakuna glamour hata kidogo
Safi boss uko vizur sana kuwapa majibu mibasharaaa,ni zaid ya miaka7 sasa wenzie wanasubiri bwana mondo ashuke kisaniii,kumbe mwenzao anatiririka na dunia ya sasa ndo manawatake wasitake atawalisha Katanga naa akiamua hata kachori,na wote wanakula bila kuuliza chochote si fans wa kiba wala mond wala wa wengine ni mwendo wa karanga tuHata Diamond sio owner wa hizo swaga
zipo kwenye industry siku nyingi only Diamond kazifanyia kazi inavyostahili
Wao wanapaswa kuzipa umuhimu kama Diamond alivyozipa umuhimu..
Well...vipi na hao wengine wakitengeneza standards zao?I hope umeelewa niliposema 'standards 'alizoweka diamond....
sijasema wafanye exactly kama diamond...but kuna vitu unategemea
ni new standard ifuatwe na wengine
Kwa hiyo?
Unataka hao wote wamuige Diamond?
Hahahaa.
Na wakimuiga nao ndo watafanikiwa kama alivyofanikiwa yeye?
Mimi sioni sababu ya kuiga.
Moja ya msingi muhimu sana katika sanaa ni utofauti.
Kuiga iga ni kinyume kabisa na huo msingi.
Pia, hata kwenye sanaa anuai inahitajika. Siyo wote muigane.
I wonder kama umenielewa
RnB kuna vitu artists wanaigana
same as hip hop na singeli na bongo fleva...
Na kuna standards zikiwekwa na msanii mmoja the rest wanafuata..
na ku add glamour kwa msanii ni kitu chenye nguvu...
Hizo standards zimeandikwa wapi?Msanii kuvaa vyovyote vile haiwezi kuwa standard
ni kutokuwa na standard...wakiweza kuwa na standards better
ashakupa kazi yule mchiz?Naunga mkono hao wanaoficha wapenzi wao.Safi sana.
Do not take JF so serious kaka.ashakupa kazi yule mchiz?
Sent From Ikulu-Magogoni street