Billnas & nandy n wapenzi?Nimeona interview ya Bill Nas anamkataa Nandy mpenzi wake nikashangaa
mbona Diamond alimfanya Wema kama mwanamke fulani very very special
hawajifunzi?
Ifike wakati mambo yawe wazi, Diamond ni shujaa. Yule mwenzake wa kiti na kitanda hawezi kuwa mbunifu au kuweka demu wake hadharani kwasababu kijana ni tende halua halua.Nilifikiri standards alizoweka Diamond ndo zinatakiwa kuigwa na kila msanii.
yaani waanzie alipo Diamond halafu ndo waongeze ya kwao
cha kushangaza unakuta msanii...yuko yuko tu
hakuna dancers,hakuna mavazi maalum
hakuna mbwembwe ya aina yoyote
yaani bado kuna wasanii wanawaficha hata wapenzi wao
nilifikiri Diamond kawaonesha namna ya kuwa star...watajifunza but wapi..
Tatizo liko wapi?
Dini inaruhusu na baba pia amebariki. Kwa hiyo usikonde.Saivi Diamond Ana Wake Wawili Kila Mtoto Na Mama Yake Mafanikio Makubwa Sana
Dini inaruhusu na baba pia amebariki. Kwa hiyo usikonde.
Ndoa ipi?Kuzaa Nje Ya Ndoa?
Hana mkevni mahawara tu woteSaivi Diamond Ana Wake Wawili Kila Mtoto Na Mama Yake Mafanikio Makubwa Sana
BET awards kama sikosei 2007 kama siyo 2008,Lil Wayne alipanda jukwaani mwenyewe,akashika mic na kuimba,alisimama hivo hivo hadi mwisho akiimba wimbo mmoja tu,alichofanya zaidi ni kushika mic juu na kuvua mkono mmoja wa koti...mbona watu walipagawa,...kila mtu na swaga zake unaweza ukaiga ukashindwa baadayeHata Diamond sio owner wa hizo swaga
zipo kwenye industry siku nyingi only Diamond kazifanyia kazi inavyostahili
Wao wanapaswa kuzipa umuhimu kama Diamond alivyozipa umuhimu..