Kwanini wasanii hawamuigi Diamond?

Kwanini wasanii hawamuigi Diamond?

Naona timu diamond unamtupia maneno kiba kiaina, sio mbaya lakin

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Tofauti naona ni kuwa Diamond anauchukulia mziki kama biashara hawa wengine wanafanya mziki for fame n fun na kupata wanawake yaan hata ukiwauliza hawa wasanii changa unamalengo au ndoto gan utambiwa nataka kuwa maarufu mtu anafanya mziki ila hana target

G.O.M.D
 
Yapo ya kuiga kwa mond ila mengine ni uzwazwa inafaa uyaone tu.
 
kila mtu akiwa tajir nan atamsaidia mwenzake?

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Nimeona interview ya Bill Nas anamkataa Nandy mpenzi wake nikashangaa
mbona Diamond alimfanya Wema kama mwanamke fulani very very special
hawajifunzi?
Billnas & nandy n wapenzi?

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Kama wamegoma kuiga mafanikio ya kimziki ninafikiri wajaribu kuiga hata kuzaa na wanawake wenye watoto walioachika naye anawazalisha
 
Watanzania tatizo tumejaa wivu na chuki basi, ukiangalia kiundani tokea mziki huu wa bongo fleva uanze hamna msanii aliyefanikiwa kuintergrate mziki na biashara kama diamond na ndio maana hata kampuni zinamgombea sababu anauzika kwa jamii na sio muoga wa kuinvest.
 
Nilifikiri standards alizoweka Diamond ndo zinatakiwa kuigwa na kila msanii.
yaani waanzie alipo Diamond halafu ndo waongeze ya kwao

cha kushangaza unakuta msanii...yuko yuko tu
hakuna dancers,hakuna mavazi maalum
hakuna mbwembwe ya aina yoyote

yaani bado kuna wasanii wanawaficha hata wapenzi wao
nilifikiri Diamond kawaonesha namna ya kuwa star...watajifunza but wapi..

Tatizo liko wapi?
Ifike wakati mambo yawe wazi, Diamond ni shujaa. Yule mwenzake wa kiti na kitanda hawezi kuwa mbunifu au kuweka demu wake hadharani kwasababu kijana ni tende halua halua.

Chukueni kauli hii na tusubiri muda lazima ataumbuka, na mambo yatakuwa wazi siku siyo nyingi.

Kijana wetu tatizo. Tumuombee Mungu amrudishe katika mstari.
 
Ukiwa msanii Lazima ufanye mambo Yako kisanii, kuna wengine wasanii Kwenye Jamii wanataka tuwaone wafia dini si her wafungue misikiti na makanisa tujue moja. Kwa lugha nyepec wanafki
 
Hata Diamond sio owner wa hizo swaga
zipo kwenye industry siku nyingi only Diamond kazifanyia kazi inavyostahili

Wao wanapaswa kuzipa umuhimu kama Diamond alivyozipa umuhimu..
BET awards kama sikosei 2007 kama siyo 2008,Lil Wayne alipanda jukwaani mwenyewe,akashika mic na kuimba,alisimama hivo hivo hadi mwisho akiimba wimbo mmoja tu,alichofanya zaidi ni kushika mic juu na kuvua mkono mmoja wa koti...mbona watu walipagawa,...kila mtu na swaga zake unaweza ukaiga ukashindwa baadaye
 
Mbona msami ana dancers lakini bado hana attention kivile jukwaani,tofauti na darasa akipanda jukwaani
 
Kila mtu Ana njia Zake za kutafuta.....Kama unataka mambo ya kumuiga fulani basi wafanyabiashara wote mjini wangefanya biashara moja
 
Back
Top Bottom