Kwanini wasanii wa maigizo na uchekeshaji wa Kiume wengi huigiza kama Wanawake?

Absolutely true! Kipaji na uelewa mpana wa mambo ni muhimu kwenye uchekeshaji.
 
Hivi hamsikilizi boringo nafasi ya uhusika wa mwanamke inaimbwa na mwanaume
 
Kuvaa na kuchekesha km mwanamke ni katika kuweka vituko tu vya wanawake, mwanamke hawez kuchekesha km mwanamke ila mwanaume anaweza akavaa kama mwanamke akapaka mawanja yao marefu na mikogo iliyopitiliza na kuweka vituko vilivyopitiliza ilimradi tu mtazamaji aone vituko
 
Sasa hivi comedian amebaki Jiwe pekee. Jiwe kichaa. Anawafikia hadi vijijini kwa bajeti ya serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…