FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Habarini za weekend ndugu zangu?
Hopefully mko poa Leo nipo hapa kuelezea kuhusu uchunguzi wangu kwanini WASANII wetu wakubwa kama DIAMOND, HARMONIZE na wengineo HAWAPATI deal izo za companies kama LV ,NIKE,ADIDAS,PUMA,FENDI na companies zingine badala yake izo deals zimekuwa za kina DAVIDO,WIZKID nk
Wasanii wetu ni washamba Sana kuanzia management zao na uongozi wao in general ni wajinga mno Wana ushamba wa kuvaa nguo they are not strategies mfano ni kawaida kumuona harmonize amevaa boxer ya GUCCI na brands nyingine na anajipost Instagram the same Kwa DIAMOND wanaona kuvaa brands ni usasa kumbe hawajitambui thamani zao Wana tangaza biashara za watu indirect
Upumbavu huo huto uona Kwa WASANII wanaojitambua wa nje ya nchi achana na nguo pia hata sam anakuta anajipost kanunua iphone latest kabisa hajui kuwa ana I brand kampuni
Mnaokaa nao karibu jaribuni kuwashauri hao watu kuvaa nguo brands watuachie sisi mashabiki tu