Kwanini wasanii wa Tanzania hawapati endorsments kutoka kwenye companies kubwa za nguo? Jibu ni hili

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Habarini za weekend ndugu zangu?

Hopefully mko poa Leo nipo hapa kuelezea kuhusu uchunguzi wangu kwanini WASANII wetu wakubwa kama DIAMOND, HARMONIZE na wengineo HAWAPATI deal izo za companies kama LV ,NIKE,ADIDAS,PUMA,FENDI na companies zingine badala yake izo deals zimekuwa za kina DAVIDO,WIZKID nk

Wasanii wetu ni washamba Sana kuanzia management zao na uongozi wao in general ni wajinga mno Wana ushamba wa kuvaa nguo they are not strategies mfano ni kawaida kumuona harmonize amevaa boxer ya GUCCI na brands nyingine na anajipost Instagram the same Kwa DIAMOND wanaona kuvaa brands ni usasa kumbe hawajitambui thamani zao Wana tangaza biashara za watu indirect

Upumbavu huo huto uona Kwa WASANII wanaojitambua wa nje ya nchi achana na nguo pia hata sam anakuta anajipost kanunua iphone latest kabisa hajui kuwa ana I brand kampuni

Mnaokaa nao karibu jaribuni kuwashauri hao watu kuvaa nguo brands watuachie sisi mashabiki tu
 
labda fanbase yao ni ndogo, lakini watanzania wengi ni masikini wasioweza kununua hizo brand zaidi ya fekero za Chinese na indians.

Nigeria faanbase ni kubwa na wanigeria wengi wanauwezo wa kununua hizo brands.
 
Sizani mbona wabongo wenye pesa wapo wengi tu
 
Wabongo wengi wenye hela hawachukulii serious hizo mambo za brands, kifupi wengi sio modern ni locals ambao kuvaa sio issue kwao.
Wanachukulia Sana tu Hawa matajiri vijana GSM heris mo na wengineo wangenunua ata kofia tu
 
Habarini za weekend ndugu zangu?

Hopefully mko poa Leo nipo hapa kuelezea kuhusu uchunguzi wangu kwanini WASANII wetu wakubwa kama DIAMOND, HARMONIZE na wengineo HAWAPATI deal izo za companies kama LV ,NIKE,ADIDAS,PUMA,FENDI na companies zingine badala yake izo deals zimekuwa za kina DAVIDO,WIZKID nk

Wasanii wetu ni washamba Sana kuanzia management zao na uongozi wao in general ni wajinga mno Wana ushamba wa kuvaa nguo they are not strategies mfano ni kawaida kumuona harmonize amevaa boxer ya GUCCI na brands nyingine na anajipost Instagram the same Kwa DIAMOND wanaona kuvaa brands ni usasa kumbe hawajitambui thamani zao Wana tangaza biashara za watu indirect

Upumbavu huo huto uona Kwa WASANII wanaojitambua wa nje ya nchi achana na nguo pia hata sam anakuta anajipost kanunua iphone latest kabisa hajui kuwa ana I brand kampuni

Mnaokaa nao karibu jaribuni kuwashauri hao watu kuvaa nguo brands watuachie sisi mashabiki tu
wanavaa vitu fake halafu wanawatajia pesa ndefu sasa endorsement wapate wapi mkuu
 
Back
Top Bottom