Kwanini wasanii wa Tanzania hawapati endorsments kutoka kwenye companies kubwa za nguo? Jibu ni hili

Wanachukulia Sana tu Hawa matajiri vijana GSM heris mo na wengineo wangenunua ata kofia tu

Hao ni wachache sana mkuu, sisi wauza mpunga mbarali, wauza madini chunya, mpanda, kerende, Luamgasa, nyarugusu, nk hatujui chochote kuhusiana na hizi mambo labda kidogo migari ili mikubwakubwa inayoweza kupiga shimo.
 
Kwa Tanzania nani mkubwa kuwazidi?
Sasa kumbe unaongelea Tanzania? Watu wenye biashara zao globally wanau tafsiri mzik katika global scope ndio maana wanatazama wanigeria etc. Hao wasanii wako wakubwa bongo ndio maana wanaishia kupa endorsement za kibongo hapa hapa
 
Wanatangaza za hayo ma company indirect ndiyo maana hawatafutwi
 
UMEINGIZA SIASA
 
labda fanbase yao ni ndogo, lakini watanzania wengi ni masikini wasioweza kununua hizo brand zaidi ya fekero za Chinese na indians.

Nigeria faanbase ni kubwa na wanigeria wengi wanauwezo wa kununua hizo brands.
Hilo ndio jibu sahihi. Uzi ufungwe.
 
Sizani mbona wabongo wenye pesa wapo wengi tu
Sio wengi unavyodhani. Wengi ni uchumi wa kati na kati ya hao wenye interest na mziki wake ni alomost 40%, the rest ndio kabisa. Ukija wa uchumi wa chini ni kilio
 
Sema wanaija wanajua kujipekenya asee kusaka madili, wabongo connections bado za kusuasua mnoo na anaepata kidogo anabania wenzie kifupi industry yetu bado kinda sana acha wapate vi deal vya kubet na magic builders kwanza
 
Habarini za weekend ndugu zangu?

Hopefully mko poa Leo nipo hapa kuelezea kuhusu uchunguzi wangu kwanini WASANII wetu wakubwa kama DIAMOND, HARMONIZE na wengineo HAWAPATI deal izo za companies kama LV ,NIKE,ADIDAS,PUMA,FENDI na companies zingine badala yake izo deals zimekuwa za kina DAVIDO,WIZKID nk

Wasanii wetu ni washamba Sana kuanzia management zao na uongozi wao in general ni wajinga mno Wana ushamba wa kuvaa nguo they are not strategies mfano ni kawaida kumuona harmonize amevaa boxer ya GUCCI na brands nyingine na anajipost Instagram the same Kwa DIAMOND wanaona kuvaa brands ni usasa kumbe hawajitambui thamani zao Wana tangaza biashara za watu indirect

Upumbavu huo huto uona Kwa WASANII wanaojitambua wa nje ya nchi achana na nguo pia hata sam anakuta anajipost kanunua iphone latest kabisa hajui kuwa ana I brand kampuni

Mnaokaa nao karibu jaribuni kuwashauri hao watu kuvaa nguo brands watuachie sisi mashabiki tu
U

Ukitaka kula sharti Uliwee.
 
Angeliwa tko na didi angepata hizo dili ......yule dogo hajaliwa tko
 
Sema wanaija wanajua kujipekenya asee kusaka madili, wabongo connections bado za kusuasua mnoo na anaepata kidogo anabania wenzie kifupi industry yetu bado kinda sana acha wapate vi deal vya kubet na magic builders kwanza
Kwakweli umesema kitu
 
Ushawahi muona DAVIDO au burna anavaa nguo yenye brand asiyo itangaza?
Ila wanaendesha magari ambayo wao sio mabalozi.
Wanaendesha bugatti, bentley na wanazitangaza bila wao kuwa mabalozi wa hizo kampuni.
Wanatumia simu za iphone na samsung na watu wengine wanawaona nazo. Je unataka kusema wao ni mabalozi wa hizo kampuni?

Hizo Nike, Adiddas zimeshakuwa kubwa kiasi kwamba hata bila Diamond, zenyewe zinauzika. Ndo maana wanapenda kuvaa brand kubwa. Watu maarufu huko ulaya wanavaa saa za Rolex bila kuwa mabalozi.

Kuna muda unafika unahitaji kuwa na brand kubwa bila wewe kuwa balozi. Yani kiufupi brand ni kubwa kuliko msanii.

Kwahiyo unataka diamond atumie simu ya itel sababu ni balozi, aache kutumia iphone. Aache kutumia V8, Escalade na Roll Royce kwa sababu sio balozi wa hizo kampuni.

CR7 anamiliki Bugatti, McLaren, Maserati, Audi, BMW, Bentley, Ferrari, Range, Chevrolet, Mercedes, Roll Royce na huwa anapiga nazo picha.

NB: Huwezi kushindana na Ukubwa
 
labda fanbase yao ni ndogo, lakini watanzania wengi ni masikini wasioweza kununua hizo brand zaidi ya fekero za Chinese na indians.

Nigeria faanbase ni kubwa na wanigeria wengi wanauwezo wa kununua hizo brands.
Point. Hata kampuni nyingi za maana zilishaondoka wamebaki wachina
 
Tanzania hatuna Wasanii mkuu,Tanzania tuna Vichwa vya wendawazimu!
 
Back
Top Bottom