Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Wanachukulia Sana tu Hawa matajiri vijana GSM heris mo na wengineo wangenunua ata kofia tu
Sasa kumbe unaongelea Tanzania? Watu wenye biashara zao globally wanau tafsiri mzik katika global scope ndio maana wanatazama wanigeria etc. Hao wasanii wako wakubwa bongo ndio maana wanaishia kupa endorsement za kibongo hapa hapaKwa Tanzania nani mkubwa kuwazidi?
Wanatangaza za hayo ma company indirect ndiyo maana hawatafutwiSasa kumbe unaongelea Tanzania? Watu wenye biashara zao globally wanau tafsiri mzik katika global scope ndio maana wanatazama wanigeria etc. Hao wasanii wako wakubwa bongo ndio maana wanaishia kupa endorsement za kibongo hapa hapa
Hilo ndio jibu sahihi. Uzi ufungwe.labda fanbase yao ni ndogo, lakini watanzania wengi ni masikini wasioweza kununua hizo brand zaidi ya fekero za Chinese na indians.
Nigeria faanbase ni kubwa na wanigeria wengi wanauwezo wa kununua hizo brands.
Sio wengi unavyodhani. Wengi ni uchumi wa kati na kati ya hao wenye interest na mziki wake ni alomost 40%, the rest ndio kabisa. Ukija wa uchumi wa chini ni kilioSizani mbona wabongo wenye pesa wapo wengi tu
UHabarini za weekend ndugu zangu?
Hopefully mko poa Leo nipo hapa kuelezea kuhusu uchunguzi wangu kwanini WASANII wetu wakubwa kama DIAMOND, HARMONIZE na wengineo HAWAPATI deal izo za companies kama LV ,NIKE,ADIDAS,PUMA,FENDI na companies zingine badala yake izo deals zimekuwa za kina DAVIDO,WIZKID nk
Wasanii wetu ni washamba Sana kuanzia management zao na uongozi wao in general ni wajinga mno Wana ushamba wa kuvaa nguo they are not strategies mfano ni kawaida kumuona harmonize amevaa boxer ya GUCCI na brands nyingine na anajipost Instagram the same Kwa DIAMOND wanaona kuvaa brands ni usasa kumbe hawajitambui thamani zao Wana tangaza biashara za watu indirect
Upumbavu huo huto uona Kwa WASANII wanaojitambua wa nje ya nchi achana na nguo pia hata sam anakuta anajipost kanunua iphone latest kabisa hajui kuwa ana I brand kampuni
Mnaokaa nao karibu jaribuni kuwashauri hao watu kuvaa nguo brands watuachie sisi mashabiki tu
Ukitaka kula sharti Uliwee.Habarini za weekend ndugu zangu?

Angeliwa tko na didi angepata hizo dili ......yule dogo hajaliwa tkoHabarini za weekend ndugu zangu?
Hopefully mko poa Leo nipo hapa kuelezea kuhusu uchunguzi wangu kwanini WASANII wetu wakubwa kama DIAMOND, HARMONIZE na wengineo HAWAPATI deal izo za companies kama LV ,NIKE,ADIDAS,PUMA,FENDI na companies zingine badala yake izo deals zimekuwa za kina DAVIDO,WIZKID nk
Wasanii wetu ni washamba Sana kuanzia management zao na uongozi wao in general ni wajinga mno Wana ushamba wa kuvaa nguo they are not strategies mfano ni kawaida kumuona harmonize amevaa boxer ya GUCCI na brands nyingine na anajipost Instagram the same Kwa DIAMOND wanaona kuvaa brands ni usasa kumbe hawajitambui thamani zao Wana tangaza biashara za watu indirect
Upumbavu huo huto uona Kwa WASANII wanaojitambua wa nje ya nchi achana na nguo pia hata sam anakuta anajipost kanunua iphone latest kabisa hajui kuwa ana I brand kampuni
Mnaokaa nao karibu jaribuni kuwashauri hao watu kuvaa nguo brands watuachie sisi mashabiki tu
Kwakweli umesema kituSema wanaija wanajua kujipekenya asee kusaka madili, wabongo connections bado za kusuasua mnoo na anaepata kidogo anabania wenzie kifupi industry yetu bado kinda sana acha wapate vi deal vya kubet na magic builders kwanza
Ila wanaendesha magari ambayo wao sio mabalozi.Ushawahi muona DAVIDO au burna anavaa nguo yenye brand asiyo itangaza?
Point. Hata kampuni nyingi za maana zilishaondoka wamebaki wachinalabda fanbase yao ni ndogo, lakini watanzania wengi ni masikini wasioweza kununua hizo brand zaidi ya fekero za Chinese na indians.