Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila tukatae mashabiki wa yanga ni low IQ ivi kweli moringa ni mchezaji?Jiulize kwanza Haji Manara alikua mpishi kwenye sherehe za CCM au sherehe za Mwenge wa Uhuru hususan Kama Mwenge umelala eneo fulani.Leo ni Afisa habari wa Simba. Manisha yanakwenda Kasi sana.
Sent from my moto g(7) play using JamiiForums mobile app
Kama umemaanisha simba club cha mpira sikubaliani nawe hata niwe usingizini, maana hata yanga ni hvyo hvyo, kuna watu wa heshima kibao wanashabikia simba na yanga pia.Jana nilikuwa na maslay qeen na video vixen wa yanga leo nipo na wenzao kwanini mashabiki wengi wa simba ni BODABODA na wahuni?
Yanga akili zao ni ndogo sikuona mantinki ya kushangilia kumfunga MwaduiKama umemaanisha simba club cha mpira sikubaliani nawe hata niwe usingizini, maana hata yanga ni hvyo hvyo, kuna watu wa heshima kibao wanashabikia simba na yanga pia.
Kama unamaanisha siasa bac ni naamin kuna chama unalenga, huko sitazungumzia chochote juu ya upeo wako huo