3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Kuna mizigo mingi kule, Molinga, Yikpe, Sibomana, SonsoKule yanga ni aibu unamlipa moringa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mizigo mingi kule, Molinga, Yikpe, Sibomana, SonsoKule yanga ni aibu unamlipa moringa
hahagaaaKwa hiyo huko yanga ni maslay queen afu simba ni boda boda[emoji3][emoji3][emoji3]
Jibu mbona rahisi tu hapo? Bosi wa simba ni muuza boda boda
umeona hapo kwenye mpira tu sio?Kajifunze kutofautisha R na L
ni kwa sababu Simba ni Mbumbumbu SC.Jana nilikuwa na maslay qeen na video vixen wa yanga leo nipo na wenzao kwanini mashabiki wengi wa simba ni BODABODA na wahuni?
viongozi watoote wa simba ni janja janjaa na kanjanja kanjanja, yaani wao ni 'short cut' kwa kwenda mbele, hapo unategemea nini?
Ila sio boda boda, yanga iko wap unayotaka kusema iko vizur katika irldara ya uongoziiiviongozi watoote wa simba ni janja janjaa na kanjanja kanjanja, yaani wao ni 'short cut' kwa kwenda mbele, hapo unategemea nini?
Kumbuka mashabiki wa simba walikuwepo kabla hata ki2 kinachoitwa boda boda hakijulikani, pia swala la kuuza boda boda kaanza juzi nadhan kabla yake alianza Leader wenu mliyekuwa mnamlilia akawatosa. Yanga ni kama baiskeli ya kinolea visu....kelele nyiiiiiiiingi halafu ipo hapo hapo tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Boss wao ni muuza bodaboda.
Huo utumbo uliotaja hapo juu hata kwenu UTOPOLO yapoNa pia ni wezi, wabadhirifu wa mali za umma, wapenda rushwa, wapiga dili, waongoza magenge ya uhalifu, watakatisha fedha, wahujumu uchumi, wadokozi, nk.
Mbumbumbu yoyote yule anayebisha aje ili nitoe ushahidi wa majina yao.
Huo utumbo uliotaja hapo juu hata kwenu UTOPOLO yapo
Sibishi ila sijaona sababu ya ww kuzungumzia huo utumbo ambao hata yanga umejaaUnabisha au?
Sibishi ila sijaona sababu ya ww kuzungumzia huo utumbo ambao hata yanga umejaa
Makubwa haya jamani [emoji33][emoji33][emoji33][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nipime akili zako kwanini mashabiki wa Yanga ni makahaba na asilimia kubwa ni darasa la 7 na kidato cha nne?
.
pili kwanini mashabiki wa Italy ni wabaguzi kuliko mataifa mengine?