Kwanini washabiki wengi wa Simba ni bodaboda na wahuni?

Kwanini washabiki wengi wa Simba ni bodaboda na wahuni?

Wewe kweli ni mbumbumbu kindakindaki! Una ushahidi wowote wa kuwahusu hao viongozi wa Yanga? Si uwataje! Maana kama ni kwa upande wa timu yako, ushahidi uko wazi kabisa!

Kuanzia Mwenyekiti wenu mstaafu Ismail Aden Rage, Evance Aveva, Godfrey Nyange, Zakariah Hans Pope, Michael Wambura, nk. Hawa wote wameshawahi kuingia kwenye misukosuko ya kila aina na niliyoitaja hapo juu!

Sasa unataka uhamishe magoli na wakati hoja yangu inaiongelea bodaboda fc!
Sasa nyie vyura ambao hamna wahujumu uchumi mna niniiiii, acha ushabiki wewe, hv vilabu viwili tabia zao zinafanana tu.

Vyura nyie kwann mashabiki wengi ni wachawiiiii?
 
Sema vijana mkuu kwa upande wa YANGA wengi ni wachawi/washirikina na waendekeza olozi na wazee ni wengi kwanini mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji28]
 
Unajua kuwa chef ni kazi inayolipa sana
Jiulize kwanza Haji Manara alikua mpishi kwenye sherehe za CCM au sherehe za Mwenge wa Uhuru hususan Kama Mwenge umelala eneo fulani.Leo ni Afisa habari wa Simba. Manisha yanakwenda Kasi sana.

Sent from my moto g(7) play using JamiiForums mobile app
 
Slay queens kazi zao kudanga ,bodaboda ni watafutaji hela ,kwahiyo ndo maana nye ni ombaomba
 
Simba kumejaa ujinga kule, cku timu yao ukicheza huwez kutofautisha kibaka yup namstarabu yupi
 
Jana nilikuwa na maslay qeen na video vixen wa yanga leo nipo na wenzao kwanini mashabiki wengi wa simba ni BODABODA na wahuni?
Mashabiki wa Yanga na hata wachezani wao wengi wana vimelea vya ushoga. Ushahidi huu hapa
FB_IMG_1586931024261.jpg
 
Back
Top Bottom