Kwanini washabiki wengi wa Simba ni bodaboda na wahuni?

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Jana nilikuwa na maslay qeen na video vixen wa yanga leo nipo na wenzao kwanini mashabiki wengi wa simba ni BODABODA na wahuni?
 
Kubaini hili, kuna chama cha siasa wafuasi wake wengi wana hizo sifa. Nadhani ni hulka na mihemko tuu
 
Ngoja nipime akili zako kwanini mashabiki wa Yanga ni makahaba na asilimia kubwa ni darasa la 7 na kidato cha nne?
.
pili kwanini mashabiki wa Italy ni wabaguzi kuliko mataifa mengine?
 
Timu la wana hilo
Kwani hao sio watu?.
Mimi simba damuuu tangu nipo mtoto.
 
Kwahiyo Bodaboda na wahuni ndio hawana mapenzi na mpila acha ujinga ww kila mtu anachaguzi zake nini apende nasio kuangalia baadhi ya watu wapi ndio wanastahili kitu fulani usilete ubaguzi.
 
Jiulize kwanza Haji Manara alikua mpishi kwenye sherehe za CCM au sherehe za Mwenge wa Uhuru hususan Kama Mwenge umelala eneo fulani.Leo ni Afisa habari wa Simba. Maisha yanakwenda Kasi sana.

Sent from my moto g(7) play using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo Bodaboda na wahuni ndio hawana mapenzi na mpila acha ujinga ww kila mtu anachaguzi zake nini apende nasio kuangalia baadhi ya watu wapi ndio wanastahili kitu fulani usilete ubaguzi.
Kajifunze kutofautisha R na L
 
Jiulize kwanza Haji Manara alikua mpishi kwenye sherehe za CCM au sherehe za Mwenge wa Uhuru hususan Kama Mwenge umelala eneo fulani.Leo ni Afisa habari wa Simba. Manisha yanakwenda Kasi sana.

Sent from my moto g(7) play using JamiiForums mobile app
Ila tukatae mashabiki wa yanga ni low IQ ivi kweli moringa ni mchezaji?
 
Jana nilikuwa na maslay qeen na video vixen wa yanga leo nipo na wenzao kwanini mashabiki wengi wa simba ni BODABODA na wahuni?
Kama umemaanisha simba club cha mpira sikubaliani nawe hata niwe usingizini, maana hata yanga ni hvyo hvyo, kuna watu wa heshima kibao wanashabikia simba na yanga pia.

Kama unamaanisha siasa bac ni naamin kuna chama unalenga, huko sitazungumzia chochote juu ya upeo wako huo
 
Yanga akili zao ni ndogo sikuona mantinki ya kushangilia kumfunga Mwadui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…