Kwanini wasichana mabonge wananuka sana

Kwanini wasichana mabonge wananuka sana

mwanahabari93

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
263
Reaction score
170
Mwenye kujua hili jambo nimekuwa na uhusiano na wasichana wenye miili mikubwa na mara nyingi wanakuwa wanatoa harufu mbaya ....mwenye kujua kwanini wanawake hao hutoa harufu mbaya..?
 
Mwenye kujua hili jambo nimekuwa na uhusiano na wasichana wenye miili mikubwa na mara nyingi eabakuwa wanatoa harufu mbaya ....mwenye kujua kwanini wanawake hao hutoa harufu mbaya ..?
Hili suala haliitaji njadala.... kunuka au kutuo harufu n ishara ya uchafu au uozo
 
Mkuu hebu punguza ukali wa mameno walau ungeandika baadhi ya....na sio kuwaunganisha wote
 
Mwenye kujua hili jambo nimekuwa na uhusiano na wasichana wenye miili mikubwa na mara nyingi wanakuwa wanatoa harufu mbaya ....mwenye kujua kwanini wanawake hao hutoa harufu mbaya..?
Idadi tafadhali!?!?! Wananuka? Nini?!?! Aidha acha kutangaza uzinzi wako hapa. Kama umekua oa na uishi na mkeo badala ya kupitia kila mwanamke menene ili kutafiti kunuka kwao!
 
Mwenye kujua hili jambo nimekuwa na uhusiano na wasichana wenye miili mikubwa na mara nyingi wanakuwa wanatoa harufu mbaya ....mwenye kujua kwanini wanawake hao hutoa harufu mbaya..?
Ungesema harufu gani mkuu itapendeza zaidi[emoji13] [emoji13]
 
Umewanusa wasichana wanene wangapi?

Mie nawafahamu wembamba wanaonuka pia, naruhusiwa kugeneralize?
 
Mbona mnatokwa povu?

Humu si kuna mabonge watujibu basi,maana kama ni practical wanayo wenyewe
 
Mwenye kujua hili jambo nimekuwa na uhusiano na wasichana wenye miili mikubwa na mara nyingi wanakuwa wanatoa harufu mbaya ....mwenye kujua kwanini wanawake hao hutoa harufu mbaya..?
UNAONA DEMU WA KWANZA ANANUKA INAKUWAJE UWAFUATE WENGINE MABONGE HIVYO HIVYO?
 
Unawapata wachafu mkuu ndio mana wananuka
 
Back
Top Bottom