women are like that bana....utakuta wakati mahitaji yake yote anayatoa kwako,anakua mpole mkarim na pia mwenye busara.lakini akishapata chanzo chochote cha kumpatia fedha anabadirika.au hiyo ni dalili kua hakua anakupenda? lakini mbona asilimia kubwa about 98%, yani almost wote wako hivyo.naomba mnisaidie wana JF kwenye hili,kwamba ukweli uko wapi?
Ni mtizamo tu wajameni.
Mtu akiwa hana kitu hata confidence humwishia.Huwa kama mtumwa. Akijiweza, confidence huongezeka, huwa na uthubutu wa kuchangia mazungumzo, huweza kuelezea msimamo wake hata kama uko tofauti na wako.Hilo kwa vyovyote litakushtua utaanza kuona ana kiburi kumbe ni mabadiliko tu ya kawaida ya mwanadamu.Ushasikia mbinu za kumjengea mtu uwezo wa kujiamini? Unadhani step ya kwanza ni ipi? Ni uwezo wa kujimudu.
Fundisho: Kama unataka kumsaidia mtu na unataka abakie mtumwa milele basi usimsaidie maana kubakia mtumwa milele haitawezekana.
"Mtumikie Karifi Upate Mradi Wako".... Hii iko kwa wanawake tu au hata Wanaume??
hata wanaume wanapokua na shida na inabd kumtegemea mwanamke wanakua wapole sana, wasikivu na hujua kuonyesha upendo. lakini ikimchangamkia tu anakua mwingine
Amen!Kwa hiyo hili suala liko pande zote... Kwa wanawake na wanaume...
Kwa hiyo hili suala liko pande zote... Kwa wanawake na wanaume...
unfortunately this applies both to men and women!!Women ni opportunist wazuri sana....normally wanamheshimu mtu anayewafanya maisha yao yawe rahisi. Ikiwa vinginevyo lazima aonyeshe true colors zake.
Ni mtizamo tu wajameni.
Mtu akiwa hana kitu hata confidence humwishia.Huwa kama mtumwa. Akijiweza, confidence huongezeka, huwa na uthubutu wa kuchangia mazungumzo, huweza kuelezea msimamo wake hata kama uko tofauti na wako.Hilo kwa vyovyote litakushtua utaanza kuona ana kiburi kumbe ni mabadiliko tu ya kawaida ya mwanadamu.Ushasikia mbinu za kumjengea mtu uwezo wa kujiamini? Unadhani step ya kwanza ni ipi? Ni uwezo wa kujimudu.
Fundisho: Kama unataka kumsaidia mtu na unataka abakie mtumwa milele basi usimsaidie maana kubakia mtumwa milele haitawezekana.
Shoga hilo fundisho kama mtu hajakuelewa basi ana ubishi wa kuzaliwa nao.
Ni tabia watu wanazo; wake kwa waume! labda hapa ingekuwa kwa nini mpenzi wako yuko hivyo; ume generalise na kwa kufanya hivyo hukuwatendea haki Mama zetu (ebo walikuwa wasichana hapo kabla!)
hapao ulikuwa unavaa au unavua shostito???