Kwanini wastaafu hawajapewa nyongeza kwenye pensheni?

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,474
Reaction score
4,007
Pensheni ya wastaafu waliowahi kuwa na vyeo vya chini haijaongezwa hata mia, inamaana nyongeza ya mishahara iliwalenga waliopo makazini tu. Kwanini waziri wa fedha alitanganza kuwaongezea na wao pia na kwa mwezi huu wa 7 hawaja tekeleza hilo. Haya maumivu ya wastaafu je Rais analipokeaje.

Kama ndivyo walivyo panga wasifikiriwe basi wenza wa viongozi kulipwa 25% ya mishahara ya waume zao ni muhimu kuliko walilo litumikia nchi hii kwa jasho. Rais na waziri wa fedha waliangalie hili lina majibu kwenye sanduku la kura na mvuto wa uongozi. Maombi ya wastaafu yajibiwe.
 
Kuna aina zaidi ya moja ya wastaafu;
Wale wanaolipwa na Hazina moja kwa moja na wale ambao wapo PSSSF.
Who are you referring to?
 
Je hazina ina shugulikia mafao ya wastaafu wa serikali moja kwa moja bila psssf. Hazina ina mfuko wa wastaafu. Eb tufafanulie hili maana nazungumzia wastaafu wa psssf wanaolipwa na psssf na wanao tumiwa sms ya pesa kuingia kwenye akaunti na psssf.
 
Hela ya Pension inatumika kununua takataka (vibaiskeli vibovu) na kuwahonga wahongwaji wa chama chao
 
Pensheni ya wastaafu waliowahi kuwa na vyeo vya chini haijaongezwa hata mia, inamaana nyongeza ya mishahara iliwalenga waliopo makazini tu. Kwanini waziri wa fedha alitanganza kuwaongezea na wao pia na kwa mwezi huu wa 7 hawaja tekeleza hilo. Haya maumivu ya wastaafu je Rais analipokeaje.

Kama ndivyo walivyo panga wasifikiriwe basi wenza wa viongozi kulipwa 25% ya mishahara ya waume zao ni muhimu kuliko walilo litumikia nchi hii kwa jasho. Rais na waziri wa fedha waliangalie hili lina majibu kwenye sanduku la kura na mvuto wa uongozi. Maombi ya wastaafu yajibiwe.
Hawakuja Singida kushangilia.
 
Je hazina ina shugulikia mafao ya wastaafu wa serikali moja kwa moja bila psssf. Hazina ina mfuko wa wastaafu. Eb tufafanulie hili maana nazungumzia wastaafu wa psssf wanaolipwa na psssf na wanao tumiwa sms ya pesa kuingia kwenye akaunti na psssf.
You are from a different world, hao wa PSSSF mbona walipata 2% increment kama miezi 9 hivi iliyopita?
 
Je hazina ina shugulikia mafao ya wastaafu wa serikali moja kwa moja bila psssf. Hazina ina mfuko wa wastaafu. Eb tufafanulie hili maana nazungumzia wastaafu wa psssf wanaolipwa na psssf na wanao tumiwa sms ya pesa kuingia kwenye akaunti na psssf.
Yes wapo wanaolipwa na hazina moja kwa moja kama nilivyoandika huko juu
 
Yaani pesa iache kununulia beskeli za kampeni mpewe nyie, Wazee acheni kujilegeza, nchi hii imejaa ardhi bikra yenye rutuba Kwa ajili ya kuotesha mazao yote ya chakula na biashara, shikeni panga, shoka na majembe muanze shughuli za kilimo. Mbona sisi hatujaajiliwa na katu hatukuwahi kulalamika, mnakosa shukrani japo kidogo Kwa ajira mlizopewa ambazo mmetumia kujitajirisha na kuziingiza familia zenu kwenye system na wao wakajitajirisha na familia zao pia. Pumbavu sana nyie wazee wastaafu.
 
Duu kumbe hawajapewa? Mie nishapanga kupunguza monthly allowance ya wazee😭😭😭 kumbe inabidi nizidi kukomaa tu
 
Back
Top Bottom