Kwanini wastaafu hawajapewa nyongeza kwenye pensheni?

Kwanini wastaafu hawajapewa nyongeza kwenye pensheni?

Yaani pesa iache kununulia beskeli za kampeni mpewe nyie, Wazee acheni kujilegeza, nchi hii imejaa ardhi bikra yenye rutuba Kwa ajili ya kuotesha mazao yote ya chakula na biashara, shikeni panga, shoka na majembe muanze shughuli za kilimo. Mbona sisi hatujaajiliwa na katu hatukuwahi kulalamika, mnakosa shukrani japo kidogo Kwa ajira mlizopewa ambazo mmetumia kujitajirisha na kuziingiza familia zenu kwenye system na wao wakajitajirisha na familia zao pia. Pumbavu sana nyie wazee wastaafu.
Kodi zetu ndio zimekupa Afya.
 
wazee wa hovyo walipwe ili iweje wao sindio wanaishabikia fiisiiemu iendeleee kukaa madarakani milele? wkule jeuri zao, nyambaf.
 
Back
Top Bottom