Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Kuna aina zaidi ya moja ya wastaafu;Pensheni ya wastaafu waliowahi kuwa na vyeo vya chini haijaongezwa hata mia, inamaana nyongeza ya mishahara iliwalenga waliopo makazini tu. Kwanini waziri wa fedha alitanganza kuwaongezea na wao pia na kwa mwezi huu wa 7 hawaja tekeleza hilo. Haya maumivu ya wastaafu je Rais analipokeaje.
Kama ndivyo walivyo panga wasifikiriwe basi wenza wa viongozi kulipwa 25% ya mishahara ya waume zao ni muhimu kuliko walilo litumikia nchi hii kwa jasho. Rais na waziri wa fedha waliangalie hili lina majibu kwenye sanduku la kura na mvuto wa uongozi. Maombi ya wastaafu yajibiwe.
Hazina na psssf woteKuna aina zaidi ya moja ya wastaafu;
Wale wanaolipwa na Hazina moja kwa moja na wale ambao wapo PSSSF.
Who are you referring to?
Je hazina ina shugulikia mafao ya wastaafu wa serikali moja kwa moja bila psssf. Hazina ina mfuko wa wastaafu. Eb tufafanulie hili maana nazungumzia wastaafu wa psssf wanaolipwa na psssf na wanao tumiwa sms ya pesa kuingia kwenye akaunti na psssf.Kuna aina zaidi ya moja ya wastaafu;
Wale wanaolipwa na Hazina moja kwa moja na wale ambao wapo PSSSF.
Who are you referring to?
Hawakuja Singida kushangilia.Pensheni ya wastaafu waliowahi kuwa na vyeo vya chini haijaongezwa hata mia, inamaana nyongeza ya mishahara iliwalenga waliopo makazini tu. Kwanini waziri wa fedha alitanganza kuwaongezea na wao pia na kwa mwezi huu wa 7 hawaja tekeleza hilo. Haya maumivu ya wastaafu je Rais analipokeaje.
Kama ndivyo walivyo panga wasifikiriwe basi wenza wa viongozi kulipwa 25% ya mishahara ya waume zao ni muhimu kuliko walilo litumikia nchi hii kwa jasho. Rais na waziri wa fedha waliangalie hili lina majibu kwenye sanduku la kura na mvuto wa uongozi. Maombi ya wastaafu yajibiwe.
You are from a different world, hao wa PSSSF mbona walipata 2% increment kama miezi 9 hivi iliyopita?Je hazina ina shugulikia mafao ya wastaafu wa serikali moja kwa moja bila psssf. Hazina ina mfuko wa wastaafu. Eb tufafanulie hili maana nazungumzia wastaafu wa psssf wanaolipwa na psssf na wanao tumiwa sms ya pesa kuingia kwenye akaunti na psssf.
Yes wapo wanaolipwa na hazina moja kwa moja kama nilivyoandika huko juuJe hazina ina shugulikia mafao ya wastaafu wa serikali moja kwa moja bila psssf. Hazina ina mfuko wa wastaafu. Eb tufafanulie hili maana nazungumzia wastaafu wa psssf wanaolipwa na psssf na wanao tumiwa sms ya pesa kuingia kwenye akaunti na psssf.
Tunaongelea mwaka huu wa fedha hiyo 2% unaiona ni increament.You are from a different world, hao wa PSSSF mbona walipata 2% increment kama miezi 9 hivi iliyopita?
Hao wanao lipwa na hazina wanaitwa wastaafu wa mfuko ganiYes wapo wanaolipwa na hazina moja kwa moja kama nilivyoandika huko juu
Nirushie af kumi nimtumie mstaafu.Poleni Sana wazee wetu!
Iongezwe kila mwaka kwa rate ya inflationKimsingi kabisa, pension ilitakiwa iongezwe kila mwaka angalau 5%