Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
[emoji1787]Tehe tehe, ndiyo maana wanadharauliwa. Miaka 5 sasa hawajapandishwa mishahara na mwalimu mwenzao ambaye naye hajui kiingereza (English D).
Unatakiwa ujue asilimia 90 ya watumishi wa umma ni walimuNaomba majibu hapa kutoka kwa waalimu.
je! Nikwanini kila nikisikia taarifa za taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru imeokoa fedha za mstaafu ukifuatilia atakuwa ni mwalimu?
kwani wastaafu wote wanaopigwa kwenye mikopo umiza ni waalimu tu?
Ni nini kinasababisha watapeliwa wengi kuwa ni waalimu badala ya wakulima?
Mwalimu mwenzao ana F kwenye kimabeberuTehe tehe, ndiyo maana wanadharauliwa. Miaka 5 sasa hawajapandishwa mishahara na mwalimu mwenzao ambaye naye hajui kiingereza (English D).
Hujui chochote, wanapokea hadi milioni mbiliAcha uongo hakuna Mwal anayepokea 1 million hapa Tz kutoka serikalini.
Hujui chochote, wanapokea hadi milioni mbili
Ht km chuki hii imezidi!!!Acha uongo hakuna Mwal anayepokea 1 million hapa Tz kutoka serikalini.
Acha uongo hakuna Mwal anayepokea 1 million hapa Tz kutoka serikalini.
IAcha uongo hakuna Mwal anayepokea 1 million hapa Tz kutoka serikalini.
Dogo nenda shule acha kufanya ligi na walimu.Naomba majibu hapa kutoka kwa waalimu.
je! Nikwanini kila nikisikia taarifa za taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru imeokoa fedha za mstaafu ukifuatilia atakuwa ni mwalimu?
kwani wastaafu wote wanaopigwa kwenye mikopo umiza ni waalimu tu?
Ni nini kinasababisha watapeliwa wengi kuwa ni waalimu badala ya wakulima?
Hebu tuwaheshimu walimu hata kama walifeli. Ni kwa sababu ya hao leo hii wewe umejua kuandika vizuri.Matokeo ya mwalimu wa shule ya msingi
Mathematics F
History D
Geography D
Civics D
Biology D
English D
Kiswahili C
Chemistry F
Physics F
Walimu uwanja wa fujo na wanakuwa na maisha magumuMatokeo ya mwalimu wa shule ya msingi
Mathematics F
History D
Geography D
Civics D
Biology D
English D
Kiswahili C
Chemistry F
Physics F