Kwanini Wastaafu wote wanaopigwa kwenye mikopo umiza ni waalimu tu?

Mkuu mie siyo mtoa mada,mie nakazia tu point kuhusu matokeo ya walimu wetu

Hakuna mtu anaesema walimu ni wajinga, ukisema walimu ni wajinga inamaana unajitukana mwenyewe.

Maada hii ilihusisha taarifa za Takukuru kuokoa fedha za wastaafu!

Katika kufuatilia matukio hayo! Ilionekana wastaafu wengi ambao wanatapeliwa kupitia taarifa zinazotolewa na takukuru kwa umma kupitia vyombo vya habari inaonyesha wahanga wengi ni walimu.

Ndo hii mada nikaiweka ili wana jf waje na majibu , kwamba kwa nini wengi wa wahanga ni walimu? Lengo kuu nikuangalia mapungufu ili kupitia jukwaa hili basi wakiona mapungufu wajisahihishe!

Jf nijukwaa huru kufundishana, kuonyana, kuwasilisha kero na mambo yote yanayo ikabili jamii.

Haimlengi mtu wala haimuogopi mtu.
 
Fuatilia.
 
Back
Top Bottom