Namlaumu sana Magufuli kukubalia kundi la jk kumuwekea huyu mburura kuwa Mgombea mwenza.Nchi inaongozwa na mtu mwenye akili ndogo na wafuasi wake nao wamekuwa na akili ndogo na hayo ndio matokeo yake , kiti cha Rais sio kiti ambacho hata barmaid anaweza kukikalia , tumekidhalilisha sana kiti cha rais
We ni bwege ni wa kupuuzwa,Heshima sana wanajamvi.
Nijikite katika mada moja kwa moja.
Tangu awamu ya sita ianze kuitawala Tanganyika timeshuhudia Watanganyika wakipewa kesi kubwa kubwa.
Awamu ya sita inaongozwa na Mzanzibar hatujawahi kusikia au kuona akiwabambikia Wazanzibari wenzake kesi za uhaini au kesi za ugaidi.
Imekuwa ni rahisi sana kumbambikia Mbowe kesi ya ugaidi kwakuwa ni Mtanganyika.
Imekuwa ni jambo la kawaida kabisa kumbambikia Lissu kesi ya uhaini kwasababu ni Mtanganyika.
Kuwa Mtanganyika awamu hii ni hasara kubwa na laana kuu.
We kajifunze kuchambaNchi inaongozwa na mtu mwenye akili ndogo na wafuasi wake nao wamekuwa na akili ndogo na hayo ndio matokeo yake , kiti cha Rais sio kiti ambacho hata barmaid anaweza kukikalia , tumekidhalilisha sana kiti cha rais
Kibaya zaidi anasaidiwa na baadhi ya watanganyika wapumbavu ambo wanaishi kwenye kotaz za mabati.Mzanzibari mwanamke anawakomoa watanganyika
Mkishindwa siasa mnakimbilia ubaguzi, hamtatoboa nyau nyieKwa sababu watanganyika nyie wenyewe mmemtengenezea mazingira huyo mzanzibar kuitawala Tanganyika jinsi anavyotaka huku akiwalipa fadhila kwa kuwapeni uhuru wa nyie kufanya upigaji/ufisadi.
Miaka miwili ya mwanzo Samia aliliongoza hili taifa kwa nidhamu ya hali ya juu sana mpaka pale alipoona uchawa na kujipendekeza ni hulka ya watanganyika na wala hamna uzalendo wowote, ndio akaamua kuanza kuwaburuza tu na yeyote anayemletea disturbance anapewa kesi nzito ya kumpoteza.
Kuna mfumo zanzibar umejikita huku tanganyika Italela athari mbaya zaidi kadri tunavyoendelea . Tiss ni mazuzu au nini. Hizi njama zinafanywa na wazanzibar waliojikita kwenye mifumoHeshima sana wanajamvi.
Nijikite katika mada moja kwa moja.
Tangu awamu ya sita ianze kuitawala Tanganyika timeshuhudia Watanganyika wakipewa kesi kubwa kubwa.
Awamu ya sita inaongozwa na Mzanzibar hatujawahi kusikia au kuona akiwabambikia Wazanzibari wenzake kesi za uhaini au kesi za ugaidi.
Imekuwa ni rahisi sana kumbambikia Mbowe kesi ya ugaidi kwakuwa ni Mtanganyika.
Imekuwa ni jambo la kawaida kabisa kumbambikia Lissu kesi ya uhaini kwasababu ni Mtanganyika.
Kuwa Mtanganyika awamu hii ni hasara kubwa na laana kuu.
Tuliza mshono nguruwe wewe, nyie na bibi huyo bibi yenu siku zenu zinahesabika mtatafuta kazi nyingine ya kufanya.Mkishindwa siasa mnakimbilia ubaguzi, hamtatoboa nyau nyie
Na Matanganyika ynafurahi kuumiza wenzae. Muliro na Mwakitange ( DPP) siku yenu inakuja.Heshima sana wanajamvi.
Nijikite katika mada moja kwa moja.
Tangu awamu ya sita ianze kuitawala Tanganyika timeshuhudia Watanganyika wakipewa kesi kubwa kubwa.
Awamu ya sita inaongozwa na Mzanzibar hatujawahi kusikia au kuona akiwabambikia Wazanzibari wenzake kesi za uhaini au kesi za ugaidi.
Imekuwa ni rahisi sana kumbambikia Mbowe kesi ya ugaidi kwakuwa ni Mtanganyika.
Imekuwa ni jambo la kawaida kabisa kumbambikia Lissu kesi ya uhaini kwasababu ni Mtanganyika.
Kuwa Mtanganyika awamu hii ni hasara kubwa na laana kuu.
Idara ya TISS na JWTZ (intelligence unit)...veeepeCCM imetuuza Watanganyika utumwani kwa Wazanzibari. Naipenda nchi yangu Jamhuri ya Tanganyika