GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na hata ukiwachunguza tu wa Redio na Runinga wengi wao ndiyo wanaongoza kwa Kupenda 'Kulelewa' na 'Mijimama', Wana Tamaa za Kipopoma ( Kipumbavu ), Wanafiki, Waongo, Wala Rushwa na wapenda Michongo sana, Wafitini na Wadangaji wengi utawakuta huko na hata ukitafuta 'walioathirika' na Gitaa pendwa la 'Dally Kimoko' ni kwamba 95% utawakuta huku.
Ila kwa wa Magazeti ( Wagumu Asilia ) wao wameridhika na Maisha yao, hawajivungi labda kwa kuona Aibu na hata Daladala wanapanda, wanakula kwa Mama Ntilie bila Kujibanza ( Kujificha ) wasionekane na hata ikitokea wameishiwa Nauli wao Kutembea kwa Ngoti ( Miguu ) kutoka Tazara Buguruni hadi Tegeta Nyuki kwao siyo tatizo na ndiyo huwa wana Akili, Mafanikio, Uvumilivu na Maendeleo ya Kimaisha.
Kuna Watangazaji Wawili Mmoja wa Redio na mwingine wa Runinga wa Jinsia Mbili tofauti kutoka katika Media Kubwa nchini moja ya Redio na nyingine ya Runinga walinikaribisha Makwao na nilichokikuta huko ni tofauti na 'Shobo' zao na 'Mikogo' yao wawepo 'Studioni' wakitusomea Taarifa zao za Habari Runingani na wakitutangazia Habari za Michezo Redioni.
Ninatamani niwataje, ila ninawastiri tu!!!