miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Sorry, how does this work... can you pls PM me in detail wana Great Thinkers
nilikuwa nanunua mashine ya photocopy, na nilipa kupitia huko ktk escrow, kilichofanyika Jamaa walileta simu Fake ya kupapasa Iphone, nilisubiri sana nikajua labda hii simu ni zawadi kwa Mteja huku mzigo hukija.... pamoja na kwamba subira yavuta kheri lakini sasa ni mwaka wa pili nasubiria tu kwa kifupi nimetapeliwa.
hiyo despute nilifungua na wao wakaniambia nitume picha ya mzigo uliowasilishwa....... nilifanya hivyo lakini tangia nimewatumia picha hakuna lolote linalo endelea.
Kama unataka business na Huna pesa ya mtaji mwingi ingieni Alibaba tafuta small business partners .
www.Alibaba .com .kwenye search engine type biashara yoyote unavyotaka Kama " women clothes or containers or mobile houses .Wafanya biashara kibao watajitikeza hapo register na Anza kuwasiliana .I feel safe and secure sasa Hivi Yaani mpaka kiwandani unaenda unaona bidhaa na kununua Kama ni china India USA .nimeamua kuwashtua mliolala usingizi .
Sample siyo guarantee, kwani unaweza pokea sample iko safi ila mzigo wenyewe ukawa na matatizo.Cha muhimu ni lazima uwe na mtu wa kukuchekia bidhaa zako kabla hazijasafirishwa kuja TZ.vp km ukimuambia akutumie sampo???
alibaba ni wezi tu, ebay ndio ya ukweli
mtoa mda umetumwa na mwizi wa alibaba?
ebay yenyewe kuna seller wa kichina kibao lakini wanaogopa kuibia watu sababu ya paypal,Unajua wenzako wanafanyaje sasa hivi, wananunua alibaba wanauza ebay na amazon, akili mukichwa!
ebay yenyewe kuna seller wa kichina kibao lakini wanaogopa kuibia watu sababu ya paypal,
lakini bado haibadili kuwa alibaba ni wezi tu, jamaa wa alibaba angetaka iwini site yake angelazimisha paypal kwa sellers wote!
Unajua wenzako wanafanyaje sasa hivi, wananunua alibaba wanauza ebay na amazon, akili mukichwa!
Iwini mara ngapi? pesa inayozunguka alibaba ni zaidi ya ebay na amazon, zote kwa pamoja! wewe ulishaibiwa mara ngapi na uliibiwa katika mazingira gani?
Na mimi nasubiri paypal waiwezeshe Tanzania kupokea pesa kwa account yao, nataka nianze na hii kitu
Acha na watu wa aina hii, mawazo mgando
ebay yenyewe kuna seller wa kichina kibao lakini wanaogopa kuibia watu sababu ya paypal,
lakini bado haibadili kuwa alibaba ni wezi tu, jamaa wa alibaba angetaka iwini site yake angelazimisha paypal kwa sellers wote!
halafu unakuta hajawahi kununua hata mswaki!!
utangoja sana baba, sjui kwa nini wameamua kutuchinjia baharini, huenda ni ujinga wa mabenki yetu tu!
halafu unakuta hajawahi kununua hata mswaki!!
ndugu huwa unajifanya unajua sana na kumbe hujui chochote, na una maneno ya dharau!
kama niliwahi ibiwa alibaba.com ulitaka nikae kimya??
mawazo yangu ya kutoiamini alibaba.com ni lazima uyabebe kama wewe umeamua kuiamini??
huu ni uzi wa pili kuhusu alibaba na nimeona wadau kadhaa kama watano nao wakisema walishawahi ibiwa ndani ya alibaba, hivyo wote ni waongo? hao wote hawajahi nunua hata mswaki ndani ya alibaba??
au umetumwa na mmliki wa ailbaba???