MWALIMU DAIMA
Senior Member
- Mar 4, 2023
- 129
- 263
🥺Mfumo wa ualimu kuwa chaguo la mwisho!
Ualimu huwa ni last option!
Acha kubeli mkuu, nenda duce, muce, must, sua, na udom wanafunzi wa hii taaluma 99% are best one wengi Wana div one and two advanceNchi za wenzetu walimu ni wale vipanga walofauli Kwa kiwango cha top cream.
Na hiyo hata anapofundisha wengine hutoa maarifa na ujuzi wa Kweli...
Never on earth. Hakuna mtu aliyepata div one akaenda ualimu.Acha kubeli mkuu, nenda duce, muce, must, sua, na udom wanafunzi wa hii taaluma 99% are best one wengi Wana div one and two advance
Jina unatumia la mtoto wangu,nimependa kuchangia kupitia kwako hapa ila kwa kukuuliza swali au maswali km ifuatavyo;Nchi za wenzetu walimu ni wale vipanga walofauli Kwa kiwango cha top cream.
Na hiyo hata anapofundisha wengine hutoa maarifa na ujuzi wa Kweli.
Huku kwetu ni kinyume chake! [emoji24]
Inasikitisha sana!
Mapunguzeze haya nimeyashauri mpaka nimechoka staki tenaNgoja mpwayungu village ajee
Kwani ni uongo kuwa walimu ni maskini? Ni uongo kuwa walimu wanaishi maisha magumu?kama kusema hayo ni kuwadharau walimu basi walimu wa nchi ni maskini na wanaishi maisha magumu kwasababu ya kutokujitambua,kundi kubwa la walimu mishahara Yao hauzidi 150000 kwani wamekopa kwenye mabenki wafikia 1/3 inayotakiwa kisheria basi wameamua kwenda kulipa kwenye taasisi zisizozingatia Sheria Kwa kuwakopesha walimu Kwa mdhamana wa ATM card,mshahara ukitoka Wanaudraw ndipo kiasi kinachobaki wanamgawia mwl.je mwl huyu asiambie lolote Kwa kuogopa kuwa anadhaurika.Enyi Watanzania hadi lini mtadharau walimu?
Walimu Hawa wanao fundisha watoto wenu Kila siku mnawaona kama maskini, roho yangu inauma sana.
Hii dhambi ya baadhi ya wapumbavu na wajinga kudharau maisha na maslah ya walimu kuwa ni madogo ni laana kwa taifa hili.
Jamaa kakutaji College of education Hapo wewe unakuja na hoja za Teachers college...mujifunze utofauti kwanza nenda COED pale UDOM halafu uje kufuta uoumbavu wakoNever on earth. Hakuna mtu aliyepata div one akaenda ualimu.
Ualimu huwa option ya mwisho baada ya kupata matokeo yasiyoridhisha.
Refer mtoto anapopata div four mbovu utasikia hata mzazi anamwambia inabidi uende ualimu tu maana kwa ufaulu huu utaenda wapi.
Huo ndio ukweli mkuu. Watu waliofauli vizuri wanaenda udaktari, sheria, uinjinia ama uhasibu.
Unamaanisha walimu waliofeli unamaanisha walimu wachuo gani ywende DUCE leo mguu kwa mguu, then ywende pale MUCE, tumalizie NYERERE MEMORY na COED UDOM itamaliza reserch yetu then uje kuandika tena hapaNchi za wenzetu walimu ni wale vipanga walofauli Kwa kiwango cha top cream.
Na hiyo hata anapofundisha wengine hutoa maarifa na ujuzi wa Kweli.
Huku kwetu ni kinyume chake! [emoji24]
Inasikitisha sana!
Mimi nina division one na ni mwalimu mkuu..na nimeupenda mwenyewe ...mwaka wa kumi huu nafundisha...Never on earth. Hakuna mtu aliyepata div one akaenda ualimu.
Ualimu huwa option ya mwisho baada ya kupata matokeo yasiyoridhisha.
Refer mtoto anapopata div four mbovu utasikia hata mzazi anamwambia inabidi uende ualimu tu maana kwa ufaulu huu utaenda wapi.
Huo ndio ukweli mkuu. Watu waliofauli vizuri wanaenda udaktari, sheria, uinjinia ama uhasibu.