Kwanini Watanzania hamna shukrani kwa walimu?

Kwanini Watanzania hamna shukrani kwa walimu?

MWALIMU DAIMA

Senior Member
Joined
Mar 4, 2023
Posts
129
Reaction score
263
Enyi Watanzania hadi lini mtadharau walimu?

Walimu Hawa wanao fundisha watoto wenu Kila siku mnawaona kama maskini, roho yangu inauma sana.

Hii dhambi ya baadhi ya wapumbavu na wajinga kudharau maisha na maslah ya walimu kuwa ni madogo ni laana kwa taifa hili.
 
Acha kubeli mkuu, nenda duce, muce, must, sua, na udom wanafunzi wa hii taaluma 99% are best one wengi Wana div one and two advance
Never on earth. Hakuna mtu aliyepata div one akaenda ualimu.

Ualimu huwa option ya mwisho baada ya kupata matokeo yasiyoridhisha.

Refer mtoto anapopata div four mbovu utasikia hata mzazi anamwambia inabidi uende ualimu tu maana kwa ufaulu huu utaenda wapi.

Huo ndio ukweli mkuu. Watu waliofauli vizuri wanaenda udaktari, sheria, uinjinia ama uhasibu.
 
Nchi za wenzetu walimu ni wale vipanga walofauli Kwa kiwango cha top cream.

Na hiyo hata anapofundisha wengine hutoa maarifa na ujuzi wa Kweli.

Huku kwetu ni kinyume chake! [emoji24]

Inasikitisha sana!
Jina unatumia la mtoto wangu,nimependa kuchangia kupitia kwako hapa ila kwa kukuuliza swali au maswali km ifuatavyo;

1 Umewahi kusikia au kuona chuo kikikuu chochote ama chuo cha kati hapa TZ kikikataa maombi ya kujiunga na mafunzo ya ualimu kutoka kwa muombaji mwenye ufahulu wa T O?

2 Kama ndiyo, unaweza kukitaja?

3 Km hapana, haya mawazo mna yatoa kwa nani?

4 Una uhakika kuwa ukiwa T O basi kuhamisha hayo maarifa uliyonayo kwenda kwa mwingine inawezekana kwa kila aliyefahulu vizuri?

5 Una uhakika kiasi gani ya kwamba walimu wote wana ufahulu mdogo?

6 Unadhani kila Mwl alipenda kuwa Mwl?
 
Kufaulu na kuwa Mwl wa kufundisha ni v2 viwili tofauti,ufaulu unakupa uhalali na vyeti vinavyofanya uaminiwe. Kuna watu hata mkiwa darasa 1 na ni kipanga hasa lkn suala la kukuelewesha na wewe uelewe ni mchakato gumu sana. Utakuwa unasikia tu (unachukua hii unazidisha na halafu unapachika hapa).

Sasa anavyokuwa anafanya ni kukuthibitishia kuwa yy anaweza na sii kukufundisha.

Tupiganie taaluma hii ipewe hadhi yake na siyo kuidharahu!
 
Enyi Watanzania hadi lini mtadharau walimu?

Walimu Hawa wanao fundisha watoto wenu Kila siku mnawaona kama maskini, roho yangu inauma sana.

Hii dhambi ya baadhi ya wapumbavu na wajinga kudharau maisha na maslah ya walimu kuwa ni madogo ni laana kwa taifa hili.
Kwani ni uongo kuwa walimu ni maskini? Ni uongo kuwa walimu wanaishi maisha magumu?kama kusema hayo ni kuwadharau walimu basi walimu wa nchi ni maskini na wanaishi maisha magumu kwasababu ya kutokujitambua,kundi kubwa la walimu mishahara Yao hauzidi 150000 kwani wamekopa kwenye mabenki wafikia 1/3 inayotakiwa kisheria basi wameamua kwenda kulipa kwenye taasisi zisizozingatia Sheria Kwa kuwakopesha walimu Kwa mdhamana wa ATM card,mshahara ukitoka Wanaudraw ndipo kiasi kinachobaki wanamgawia mwl.je mwl huyu asiambie lolote Kwa kuogopa kuwa anadhaurika.
Jambo la msingi ni kupiga kelele Kwa watawala Ili waboreshe maslahi ya walimu,maslahi ya walimu ni kiduchu sana hawawezi kupiga hatua yoyote
 
Never on earth. Hakuna mtu aliyepata div one akaenda ualimu.

Ualimu huwa option ya mwisho baada ya kupata matokeo yasiyoridhisha.

Refer mtoto anapopata div four mbovu utasikia hata mzazi anamwambia inabidi uende ualimu tu maana kwa ufaulu huu utaenda wapi.

Huo ndio ukweli mkuu. Watu waliofauli vizuri wanaenda udaktari, sheria, uinjinia ama uhasibu.
Jamaa kakutaji College of education Hapo wewe unakuja na hoja za Teachers college...mujifunze utofauti kwanza nenda COED pale UDOM halafu uje kufuta uoumbavu wako
 
Nchi za wenzetu walimu ni wale vipanga walofauli Kwa kiwango cha top cream.

Na hiyo hata anapofundisha wengine hutoa maarifa na ujuzi wa Kweli.

Huku kwetu ni kinyume chake! [emoji24]

Inasikitisha sana!
Unamaanisha walimu waliofeli unamaanisha walimu wachuo gani ywende DUCE leo mguu kwa mguu, then ywende pale MUCE, tumalizie NYERERE MEMORY na COED UDOM itamaliza reserch yetu then uje kuandika tena hapa
 
Walimu dv one na two wapo wengi sana.

Walienda ualimu kwa kuwa HESLB walikuwa wanatoa ufadhili na mzee JK alikuwa anawapa kazi ndani ya siku 100 toka yatoke matokeo.

walimu wengi watamaliza mikopo ya elimu mwaka huu na watamaliza karibia wote mwakani wakifuatiwa na daraja takatifu.

jiandaen kuona walimu wakikopa pesa ndefu hadi 30m wanajenga mijengo na ndinga huku wakibakiwa na jero k ya kula.

2025 mtakuja na uzi tena kuwasema walimu ni wezi.
 
Never on earth. Hakuna mtu aliyepata div one akaenda ualimu.

Ualimu huwa option ya mwisho baada ya kupata matokeo yasiyoridhisha.

Refer mtoto anapopata div four mbovu utasikia hata mzazi anamwambia inabidi uende ualimu tu maana kwa ufaulu huu utaenda wapi.

Huo ndio ukweli mkuu. Watu waliofauli vizuri wanaenda udaktari, sheria, uinjinia ama uhasibu.
Mimi nina division one na ni mwalimu mkuu..na nimeupenda mwenyewe ...mwaka wa kumi huu nafundisha...
 
Back
Top Bottom