Kwanini Watanzania hawatawaunga mkono wapinzani (CHADEMA& ACT-Wazalendo) kwenye mgomo wao na maandamano

Watanzania vurugu sio hulka yetu,Mwalimu Nyerere alitujenga kwenye misingi ya kuvumuliana na kusamehe.
 
Niko tayar, hakuna ukombozi unaokuja bila kumwaga damu, Niko tayar damu yangu immwagike ili kuwakomboa wanyonge wa nch hii
 
Wanachofanya viongozi wa upinzani ni kutekeleza wajibu wao wa kututengenezea sisi wananchi utaratibu mbadala wa kuboresha maisha yetu. Kwamba wananchi tutauafiki huo utaratibu mbadala ama la, huo ni utashi wa sisi wananchi wenyewe mmoja mmoja au kwa ujumla wetu - tuafiki ama tusiafiki tayari viongozi wa upinzani watakuwa wameshafanya cha kwao kwa nafasi yao.

Hata Mwenyezi Mungu pamoja na uwezo wake na mamlaka yote aliyo nayo kwa mwanadamu, amewapa wanadamu utashi wa kuchagua wakipendacho.

Mathalani, Mungu anatamani sana (and in fact angeweza kulazimisha angetaka) kuona concerts za watumishi wake kama Angel Bernard, Rose Muhando, Boni Mwaitege, nk ziwe zinajaza nyomi lakini utakuta zinazojaza ni zile za kina Nandy, Diamond, nk.

Ni utashi wa kuchagua - kwenda peponi au jehanum!
 
Fikiria kama Membe angepewa ushirikiano.

Hivi vyama kwa sasa wanajaribu kuweka pose tu lakini wanajuwa jinsi moto unavyofuka chini ya chungu. Kuna wabunge ambao wanahasira ya kupoteza viti ambavyo kwao ingekuwa rahisi kushunda na kurudi mjengoni. Fikiria CDM wangemuweka Nyalandu na pesa yake aliyoahidi. Labda tusingekuwa tunaogea haya hivi sana. Lissu mmekuja na mtaji mdogo sana wa risasi na serikali kumuonea. Hakuna nchi duniani utashinda uchaguzi bila kuwekeza pesa, na Lissu hakuletwa pesa.
 
Sawa. Utakuwa umefanya uamuzi wa busara.

Amandla...
 
Angalau una akili kidogo ya kukiri kuwa hatuna tume bali NECCM - tena kwa muda mrefu. Na hiyo inatosha sisi kuandamana,
Wanataka tuandamane kwa kuwa wao wamekosa Ubunge sio mambo ya sijui tume huru n.k

Kwani mara zote walizokuwa Bungeni kulikuwa na Tume huru?


Wamejua Tume si huru baada ya kukosa Ubunge wa Hai, Kigoma Mjini, Iringa Mjini, Arusha Mjini n.k?
 
Mnasubiriwa kwa hamu sana!
 
 
Niko tayar, hakuna ukombozi unaokuja bila kumwaga damu, Niko tayar damu yangu immwagike ili kuwakomboa wanyonge wa nch hii
Unamkomboa nani we falaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tuna safari ndefu sana kufika kama ulaya tukiacha ushabiki wazungu ni wastarabu na wana akili sana na vice versa unatupata sisi
 
Ushamba tu unawasumbua. Hiyo picha ya CHADEMA na Lowassa ina uhusiano gani na wizi wa kura na dhuluma ya tarehe 27 na 28 Oktoba 2020? Mtu yeyote mwenye akili zake ata-ignore hiyo picha. Nyie wajinga wa CCM mnaona hilo ni dili!


Hii waatajifanya hawaioni! Njaa zao, na tumesema hatuwezi kuwapeleka bungeni wapinga maendeleo!
 
Wewe nyamaza kimya na kaa nyumbani kwako. Wala hatuhitaji kujua hilo hapa JF.
 
Watu gani hao? Hawa hapa πŸ‘‡ ?

View attachment 1616726
Wewe unavyo hona hao ni watu gani,kutoka nchi gani,kituo kipi? au labda kuna kitu chochote kinaonyesha hapo ni TZ.

Majibu yako utayapata ktk hayo maswali.

Ila nashukuru umewaona waganga njaa wanaojifanya wanaharakati,waliwasaliti watu 2015 ,2020 wamesalitiwa wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…