Kwanini Watanzania hawatawaunga mkono wapinzani (CHADEMA& ACT-Wazalendo) kwenye mgomo wao na maandamano

Endeleeni kuandika magazeti, Msilolijua ni kwamba mlifanya makosa makubwa kumkabidhi chama mtu mmoja. Kisha nyote mkaacha muongozwe na akili ya mtu mmoja. Matokeo yake kumbe mtu wenyewe hazimo kichwani...kawatumbukiza shimoni na hamtachomoza tena CCM!
 
Wavueni uanachama wote, na futeni vyama vyote...sisi haja yetu nchi yetu iongozwe na tuliemchagua na sio tuongozwe na mwizi wa kura! Vyama kwa sasa si muhimu sana. Futeni tu!
 
Udhalimu na udikteta una mwisho. Angalau pigeni moyo konde muanze kushangilia ushindi mitaani basi.
 
Hutaona mtu ng'o, na huko barabarani hamtaenda zaidi ya mita 10.
 
Ma punguani ndio pekee watakaoingia barabarani. Watanzania wazalendo hatuwezi kusikiliza mlevi wa faru John alitoa maagizo. Kama tulivyo mpuuza wakati wa Corona, na juma tatu hali kadhalika. Watuondolee upuuzi wao hapa.
 
Vipi haki za waliomchagua magufuli?
 
Hivi sababu ya CCM kuiba kula nyingi kiasi kile nini...maana hakuna awamu ambayo imefanya mambo mengi na iliyokuwa inakubalika na wananchi kama hii.
Jamana printers waliwatengenezea karatasi 12,500,000 zenye vema kwa magufuli.
 
Kupiga kura mnapigia mtandaoni na ushindi mnapeana kuapishana mtandaoni. Sitashangaa na maandamano kuishia mtandaoni kama ya Mange. Hakuna atakayetoa pua nje.
 
Tutawamisi sana humu jf maana pengine mtapoteza maisha au viungo na kushindwa ku share comment
Hapa, jitahidi uwahi ili uwe tanuru la kuwasha moto wa maandamano,
Tuacheni sisi tuendelee kula nyama choma na bia kidogo wakati tukisubili tanazania yenye neema.

au mta
 
Kweli kabisa, wanapinga kwa maneno matendo yao tofauti, mathalani, wakati wa kampendi walikusanyika, wanatumia barabara, ndege, meli, madaraja, mwendokasi, umeme nk ilhali wanapinga!
 

Umeandika gazeti refu sana lakini mimi mtanzania naunga mkono kupinga uchafuzi uliofanyika wa wizi wa kura
 
Stephano Mgendanyi tokea nianze kusoma humu nyuzi za wadau mbalimbali sijawahi kuona mdau aliyotoa hoja nzuri na yenye mashiko Kama wewe.Hii kwangu ndio best thread Hadi sasa.
mama D umeona hoja ya mdau huyu?
 

Wahenga walisema yenye uchungu ndio dawa.
Wapinzani wa Tanzania haswa ACT na CHADEMA wasiporudi nyuma na kujitafakari wanaenda kubaki kwenye historia ya nchi hii kama mfano wa magenge ya watu waliowahi kutumia mfumo demokrasia ya vyama vingi kufanya mambo ya ajabu kuwahi kutokea duniani ikiwamo kuihujumu nchi yao.

Asante kwa kuwaeleza Stephano Mgendanyi kwa kuwakumbusha walikoangukia, sasa ni maamuzi yao kuamua kubaki kuvijenga vyama vyao upya katika misingi ya ukweli wakizingatia uzalendo, au kuungana na wananchi kupokea, kukubali na boresha maendeleo yanayofanywa na kusimamiwa na serikali.

Na katika yote wajue hawawezi kuendelea kuwatumia wananchi wa Tanzania kuungana mkono juhudi za kumsaidia Tundu na bobuamstadamu wake kupata huo ushahidi wa maandamano wanaoutaka kwa udi na uvumba ili kuhhujumu nchi yetu, wala hakuna mwananchi wa Tanzania atakaekubali kuungana nao kubeza na kupinga maendeleo yanayofanya na rais John Pombe Magufuli

Cc innocent dependent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…