Kwanini Watanzania hawatawaunga mkono wapinzani (CHADEMA& ACT-Wazalendo) kwenye mgomo wao na maandamano

Sawa EXPERT member. Kwa hiyo uchaguzi ni batili kwa vile uliruhusu watu ambao sio raia kugombea urais, ubunge na udowani.

Amandla...
Msikilize Polepole kwenye Press conference yake ya jana. Tunahitaji hayo makaratasi ya kupigia kura ambayo wanadai kugushiwa yapelekwe polisi yakafanyiwe Forensic investigation. Mbona hawafanyi hivyo? Sijui kama unajua maana ya forensic invesrigation ni nini? Na nafikiri hata Lissu na Zitto ni mabogus hawajui kama kitu kama hicho kipo. Wangejua wasinge kuwa wanazuga namna hiyo. Wamesha kamatwa uhuni wao.

Lissu, Mbowe, Maalim Seif, Zitto na wengineo ni majambazi tu hayo ambayo yanataka kutumia rasilimali za nchi yetu kwa manufaa yao na mabeberu wanao wa-support. Lissu, Mbowe, Maalim Seif, Zitto na wengineo ni kwishni!

Vilevile wakati wa kupiga kura yale makaratasi hupigwa mihuli ya tarehe na kituo cha kupigia kura na halfu kutiwa sain. Sasa watuonyeshe basi wote tuyaone.

Kitu ambacho haya majuha hayakuelewa ni kuwa zile karatasi zina tolewa kutoka kwenye ki bunch ambacho kina namba sawa sawa na hizo karatasi na pia aina ya karatasi. Kama vile risiti.

Kwa hiyo lazima tuzifanyie investigation ya kina ili kubaini hizo karatasi zilitoka wapi?
 
Ajax Amsterdam nae atakuwepo kwenye maandamano?
 
Sawa mtaalam wa Forensic Investigation.

Amandla...
 

Yaani usalama wa taifa wako kwenye mitandao na ndiyo wameleta kura feki kila mahali. Tanzania hatuna demokrasia tena na wananchi watachoka siasa
 
Kwanza wapinzani tambueni mema aliofanya Magu msikimbilie mabaya alioyafanya afu kumbukeni kuwa yeye si malaika kuna makosa pia kafanya lakini bado tunaamini kuwa ndo Musa wetu hajamilza safari lazima amalize .Nyie mnataka muingie hata ile Sgr igembaki magofu maana hamna strategies...
 
Watanzania wapumbavu tu wako kama MAKONDOO tu. Mnafanyiwa ujinga na DHULUMA na huyo MRUNDI mnaona sawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…