Kwanini Watanzania hawazichangamkii Toyota Mark X Vio

Kwanini Watanzania hawazichangamkii Toyota Mark X Vio

Hahahaha ndio sababu nikasema muonekano wa hii gari sio mzuri. Kama mahitaji yako ni gari inayoonekana vizuri hapa umepotea.
mm napenda hatchbacks. kama hiyo. na nafikiri watu wametofautiana
 
Wabongo gani hao unawasemea wakati wengi wana Mark X Crown Brevis zenye cc2500 au zaidi na ni za chini?!
Gari ambazo toka unanunua zina depreciate kila lisaa limoja.

Watu wanayakimbia sana na wananunua kwa kushawishiwa kuwa sio kweli kama zinakula mafuta.

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Ndio tatizo la kuwa mtu wa magari, hapa mjini mnapigwa/mnapiga sana. Kuuza au kununua gari hiyo milioni 22 ni wizi wa mchana kweupe. Kama unataka ya 2007, nikupeleke sehemu wakuuzie kwa milioni 11 leo hii.
Sorry brother, Subaru XT unaweza pata kwa shilingi ngapi kwa kuagiza nje? Hapa nchini wanazingua sana
 
Mzee unataka gari la kuonesha majirani?
Nataka kama hili👇
0987.jpg
 
Back
Top Bottom