Kwanini Watanzania hawazichangamkii Toyota Mark X Vio

Kwanini Watanzania hawazichangamkii Toyota Mark X Vio

IMG_6249.jpg

Mnyama noma sana kama kitu hujawahi kimiliki utaskia maneno mengi sana ..mwaka wa 2 nakamua nayo
 
View attachment 1818955
Mnyama noma sana kama kitu hujawahi kimiliki utaskia maneno mengi sana ..mwaka wa 2 nakamua nayo
Muundo wa Family cars hizo. Sawa na NOAH na zinazofanana nazo. Hazifai kuitwa mnyama. Hizo zinaitwa mkusanyo maana zinakusanya hata 10 mnakaa humo mkijibana vzr. Gari nzuri kwa familia.
 
View attachment 1818955
Mnyama noma sana kama kitu hujawahi kimiliki utaskia maneno mengi sana ..mwaka wa 2 nakamua nayo

Mkuu naiona imetulia sana, hebu tupe uzoefu kidogo. Ina shida yeyote ya injini au break? Unapata taabu kupata spea? Vipi ulaji wa mafuta n.k
 
Watanzania bado tuna ushamba wa kudharau aina za magari. Walianza wanigeria na sisi tumeiga.
Huu ni ushamba tu kama ushamba wa madem kushobokea iphone.
Na huu ushamba haujatuacha salama, unatugharimu ila hatujui maskini!.
Tatizo kubwa wabongo hatujui kutofautisha magari na kipato. Kila mtu anataka gari zuri na la bei, tatizo ukilazimisha unajikuta unaumia tu. Unakuta mtu mwezi mzima amepaki gari kisa suspensions sijui sensor.
 
Vipi muonekano wa Toyota Rumion?
 
Mkuu mimi kwenye gari naangalia sana matumizi na mashine. Rumion imejibana sana, siwezi kufanya baadhi ya mambo humi ndani if you know what i mean.
Kama nakupata, ila kwa nje inaonekana kama kubwa kingine iko juu si unajua tena barabara zetu, design kama family car
 
Kama nakupata, ila kwa nje inaonekana kama kubwa kingine iko juu si unajua tena barabara zetu, design kama family car

Yes, kama unaishi maeneo yenye barabara mbovu gari ya chini ni mshipa. Bahati nzuri kwangu vumbi haizidi mita mia mbili.
 
Back
Top Bottom