Kwanini Watanzania tuko hivi? Ni laana gani?

Sawa mkuu
Tuanzie wapi sasa ngazi ya chini kabisa kushinda umaskini?
Tujirudishe kwenye vikundi vya kiuchumi na ushirikiano wa kijamii, wabongo tuna tabia ya kupenda kupambana mmoja mmoja kwa sababu ya kukosekana kwa uaminifu.

Tukijenga mifumo ya kuaminiana, tukaweka nguvu zetu pamoja , tunaweza kusaidiana kuanzisha miradi midogo midogo itakayowasogeza watu mbele.

Inabidi tuache kukumbatia mifumo ya elimu inayotufundisha kusubiri ajira, tuwekeze kwenye skills over certificates.
 
Hapo sawa kiongozi
 
Umesababisha Kanyewest ale ban
 

Dah, We mzee. Ona hata aibu basi
 
Wewe hujawahi kubadilika Elevenn hua una badili I'D ila akili yako bado ni ile ile

Umefungua mada nimechangia bado tena unataka nibaki kwenye mada yako wakati nishamaliza kutoa maoni 🤣🤣
Hapana wewe ndie uliyetoa hoja nikakuuliza maswali then ukaanza kuleta hoja ambayo haiko menzani

"Swala la mind your own business" ni swala binafsi

Nilivyo kuuliza kwanini unakimbia hoja unasingizia kuwa nataka ubaki kwenye mawazo yangu..

Hapo mimi sina shida ni wewe uliye kimbia hoja. Kwa nini usingeitetea hiyo hoja yako?
 
Sitaki kuitetea hoja yangu unasema je kuhusu hilo?
 
Hatujalogwa kiasili tuna roho mbaya tu!!!!!! na hii pia tuijumlishe kwa the gunner
Roho mbaya ni kitu kingine tofauti.
Wakenya wana roho mbaya ila wanajielewa na wanajua ni jambo la kupuuza na jambo gani linalofaa kutumia muda wao kulipigania.
Tofauti na Mtanzania jambo zuri ananuna na jambo baya la hatari anakenua meno tu na mwingine anasapoti kabisa kwa kusema hilo jambo baya ni zuri halina tatizo.
Hii ni kiwango cha uzezeta sio ujinga tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…