Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
HahahaRoho mbaya ni kitu kingine tofauti.
Wakenya wana roho mbaya ila wanajielewa na wanajua ni jambo la kupuuza na jambo gani linalofaa kutumia muda wao kulipigania.
Tofauti na Mtanzania jambo zuri ananuna na jambo baya la hatari anakenua meno tu na mwingine anasapoti kabisa kwa kusema hilo jambo baya ni zuri halina tatizo.
Hii ni kiwango cha uzezeta sio ujinga tena.
πππ mkuu hivi unanichukuliaje yani!!!????Ni modification za AI Tu hizo, picha unaweza kuifanya unavyotaka
Tatizo AI mkuuπππ mkuu hivi unanichukuliaje yani!!!????
Basi ungesema mapema sio kuleta mambo ya mind your own business.. Huko ni kukwepa mshaleSitaki kuitetea hoja yangu unasema je kuhusu hilo?
Nikuite sehemu uje unioneshe uwezo wako wa kujenga hoja?Basi ungesema mapema sio kuleta mambo ya mind your own business.. Huko ni kukwepa mshale
Sihitaji kuitwa wala koneshwa. Usilete personal issues..Nikuite sehemu uje unioneshe uwezo wako wa kujenga hoja?
Sawa Elevenn β€οΈSihitaji kuitwa wala koneshwa. Usilete personal issues..
Kubali ya kuwa hukua na hoja iliyo Shiba ulivyo pata challenge ukakimbia
Ni yeye koti jipyaAisee π π hivi mbona kama ni au au au basi tuπ
Mimi sio huyoSawa Elevenn β€οΈ
Kwa Id hii wasipokupa u Platinumz jinyonge.Ila aisee kwanini sisi watanzania tuko hivi?
Ni laana gani tuliyo nayo sisi?
Katika pita pita mitandaoni nimejikuta nashangaa why! Watu wana make fun of juma jux. Ndo hao hao walomcheka akiwa haijawa na ndoa, ila leo kaingia kwenye ndo kawa kituko tena?
Hii ndo sababu watu hawakai kwenye ndoa maana nje kuna wachawi wengi wameachika, wana stress, hawana maisha so wanatumia kila wawezalo kuweka mtu chini.
Na kuna mtu akaja na uzi ambao uko titled. "Jux kayakanyaga huko"
Thread 'Jux kayakanyaga huko! Waja wanauliza kwanini kakonda sana?' https://www.jamiiforums.com/threads...-waja-wanauliza-kwanini-kakonda-sana.2461981/
Sasa unajiuliza Kwahiyo kumbe ulikua unasubiri ayakanyage?
Mbona kipindi anasajiliwa Warner music stori zake hazikuvuma? Kwanini hakupata support kutoka huku kwa watu wake ila wanaijeria?
View attachment 3650038
Lakini pia haitoshi... Humu Jukwaani japo mimi sio mchangiaji sana huwa naona jinsi watu wanavurugwa wakiona mtu kawazidi kila kitu kwenye hoja.
Kuna member anaitwa Elevenn au de Gunner ambae binafsi huwa napendezwa na uandishi wake ila watu wanamcrash kisa anapenda kujiona.
Kujiona kwake kuna uhusiano gani na wewe? Je kwanini usistick kwenye mada na sio mtu? Watu humu ni kama wale wale tu wa mitaani.. Ni wana nongwa na chuki binafsi. Haya sasa mtu akipigwa ban wewe unapata faida gani?
Sasa hivi kuna movement za kumchokoza mtu makusudi alafu wanakusema kwa mods umewatukana. Si ni utoto na ujinga kabisa huo?
Yaani kuna muda nasema hili li nchi limelaanika kabisa.
Ukija kwenye siasa nako. Watanzania wa abaki kuongelea vichochoroni, hawana guts za kupigania haki zao, wanasiasa wanalambana miguu tu, yaani imekuwa bora ya wakoloni. Hii nchi kuishi inabidi ujifanye zombie tu kwa kweli.
Ni kheri hata wakoloni kuliko mtanzania aliyeshika nyadhfa. Huwa wanakua kama mbogo.
Hivi watanzania ni nani aliye waroga nyie? Jamani hivi na nyie mnaona kawaida tu?
Kwakweli mimi naona bora mjerumani arudi tu, awanyooshe watanzania. Hakuna watu humu, kuna nyumbu tu wanaotembea.
Nawasilisha
Acha zako bwanaMimi sio huyo
Mbona wenzetu wazungu wameweka kujicontrol?Unakuwa ni nini Boss,
Kuna watu ukiwazudi hawakubali kuwa na wao Kuna kitu chao cha kukuzidi, wanahisi umeipoka nafasi yao, wanajiona duni na kuumia. Hali hiyo ndiyo inayosababisha majungu na umbea.
Hawapigi majungu tu kwa sababu wanapenda sana, ila ni njia ya wao kujiliwaza na kujihami.
Unataka kusema nini mkuu?Aisee π π hivi mbona kama ni au au au basi tuπ
11Aisee π π hivi mbona kama ni au au au basi tuπ
Mh Rais Samia Hasan aseme samahani" kwa niaba ya watendaji wa serikali yakeAlso free Elevenn
Mpeni badge ya uplatinumz ilitulize wenge, la sivyo atafungua id mpya kila week.I'm out Elevenn wewe ni kicwa ngumu sikuwezi kabisa π€