Kwanini Watanzania tuko hivi? Ni laana gani?

Hao wengi ni watu wenye empty lives, ni failures na sadists wanao project failures zao kwa watu wengine.

Ma celebrities ni easy target kwa sababu wako visible zaidi.

Ni roho mbaya na matatizo ya afya ya akili kwa kiasi kikubwa.

Sio Tanzania tu tatizo hili linajitokeza sehemu nyingi.

Mkuu, mimi kama nina mipango yangu mabiashara ya Real Estate na ma Trust Fund ya famikia ku set, nina angalia mambo ya kupitisha pesa kubwa katika mifumo ya kibenki ya nchi tofautitofauti, saa ngapi napata muda wa kumfuatikia Jux na Priscilla? Saa ngapi namfuatilia Charlene na Isaya?

Yani badala ya kufuatilia nani katika familia yangu ana realize potential yake vipi, badala ya kufikiria ule mghorofa wa Mbezi Beach ambao hauna mtu tunaufanya nini, badala ya kufikiria mwaka huu Turks and Caicos au Malaga, niwafuatilie kina Jux watu ambao hata hawajui kuwa nipo katika sayari hii?

Hayo ni matatizo ya akili.
 
Mkuu sio watanzania tu almost dunia yote ndivyo ilivyo. Ushawahi kujiuliza kwanini only fans inatengeneza pesa nyingi kuliko space x? Kwanini Meta ina thamani kubwa kuliko kampuni ya Toyota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…