Kwanini Watanzania wako obsessed na Kenya?

Kwanini Watanzania wako obsessed na Kenya?

Km kuna watu wako obsessed n Tz n wakuny ...nenda kwend channel zao za tv, tweeter, youtube. Angalia bench mark yao ni nani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] humu jf ndio kichekesho...acha kuota mchan wwView attachment 1576764
Sasa wewe ndio uko obsessed na Kenya maana unaposti picha ya Mkenya Obama.
 
Mziki unapigwa mpaka vijijini kwa sababu ya lugha ,lugha Ni chombo muhimu Cha utangamano na ndio ukitembea Kenya sio rahisi ukutane na mziki wa uganda ukipigwa kwa sababu ya lugha.
Kuna kipindi miziki ya Marekani ilikua popular sana Tanzania kiasi kwamba the big top 20s za radio stations nyingi, karibu miziki yote ilikua ya nje, hapo hapo watanzania wengi English hawajui, vilevile mpaka leo miziki ya kikongo ni maarufu sana Tanzania na inapendwa mno japo watanzania wengi hawajui lingala wala kifaransa.
 
Yes!! You are bloody sellouts! We know that well. You are puppets of the west we know that!! You kiss the west's ass all the time we know that.

Even during apartheid you were the only African country supporting the boers. We know that

Hamna utu. ..manajali pesa tu
The west is buying your ass. We know that! The sad part is only the elite are eating the money but the ordinary bafoons are more proud.

Shame on the Kenyan corrupt government! ! Shame on all Kenyans that support these stinky policies! Shame on all of you!!
Basi mubaki na shit-hole country yenu.
 
Kenya has recently improved in some sectors of the economy, FDI , taxation and IT but Tz is still analog
Mume improve IT? wakati hata kuhama kutoka analog TV kwenda digital mlikuja kujifunza TCRA Tanzania nyinyi nyang'au kwa Tanzania hakuna rangi mtaacha kuona hakuna kitu mnapenda kujitekenya na kucheka haya tunawakaribisha mje mjifunze kuuza tanzanite nje ya nchi. Kenya ninyi ni backwards mnabebwa na takwimu za kiongo za mabwana zenu lakini ukanda huu ninyi ni wepesi sana na huo ukweli mnaukubali from within
 
Ushakuwa mTz leo?? Wallahi mengi yanakuja [emoji3][emoji3][emoji3]
Hakuna mahali nimesema nimekua mtanzania tunachotaka Kanda hii ya mashariki Ni uhuru,haki ,usawa na maendeleo, maendeleo bila uhuru na haki hayana maana na ndio maana Afrika kusini akina Mandela walipigania uhuru licha ya serikali iliokuepo madarakani ilikua imeleta maendeleo kibao na hata ndio unaona kenya hakimu mkuu amemuelekeza rais alivunje unge maana halina usawa . Tunataka haki Kanda hii na tukiwa na haki maendeleo yatakuja.
 
Kuna kipindi miziki ya Marekani ilikua popular sana Tanzania kiasi kwamba the big top 20s za radio stations nyingi, karibu miziki yote ilikua ya nje, hapo hapo watanzania wengi English hawajui, vilevile mpaka leo miziki ya kikongo ni maarufu sana Tanzania na inapendwa mno japo watanzania wengi hawajui lingala wala kifaransa
Lingala ni mziki wa kiafrika ambao unapigwa kote barani kutokana na mtindo wao,pili wakongo walianza mziki mbele ya watu kutoka mataifa mengine na Mziki wao ukakubalika Hadi leo japo Mimi siupendi kwa sababu napenda kusikiza mziki ambao naelewa kinachoimbwa Mziki wa bongo umepenya kenya kwa sababu ya lugha maana Ni lugha ambayo inaeleweka na kila mtu jiulize kwa Nini mziki wa uganda haujapenya Kenya jibu Ni rahisi tu lugha.
 
Hiki kiswahili chako ni kibovu sana. Unaaibisha Malazy wenzako.
Usikimbilie kwenye Kiswahili hayo ni makosa tu ya kuandika ila c unajua smart phone zinavyokuchagulia maneno.kwenye uzi wako uli uliodai wa TZ mda wote tunaiwaza Kenya baada ya kukupa za uso ukaufyata unakimbilia kujibu comment isiokuhusu na kujifanya mwalimu wa Kiswahili jibu kwanza kule [emoji205] we . Kama Sisi mda wote tunaiwaza Kenya nani hapa kamfata mwenzake?
 
Lingala ni mziki wa kiafrika ambao unapigwa kote barani kutokana na mtindo wao,pili wakongo walianza mziki mbele ya watu kutoka mataifa mengine na Mziki wao ukakubalika Hadi leo japo Mimi siupendi kwa sababu napenda kusikiza mziki ambao naelewa kinachoimbwa Mziki wa bongo umepenya kenya kwa sababu ya lugha maana Ni lugha ambayo inaeleweka na kila mtu jiulize kwa Nini mziki wa uganda haujapenya kenya jibu Ni rahisi tu lugha
Wacha kuongopa ww nimekuona muda mrefu ukiongopa ila ss inabd nikujibu tu, muziki ni hisia na wala co lugha, nenda hata ulaya kuna miziki inapendwa na wazungu licha ya kutoelewa lugha.

Michael Jackson alikuwa anapendwa dunia nzima licha ya kwamba Wachina, Warusi, Wajerumani, et al., Walikuwa hawamuelewi.

Usitake kukwepa ukweli kwamba muziki wa Tz ndiyo bora kwa ss E&CA, unataka kujificha kwenye kivuli cha muziki wa Uganda ili kukwepa ukweli? Wacha hizo ww.
 
Hajitambui huyo kamillion alikubalika TZ wakati hata haimbi Kwa Kiswahili likini alikubalika mpaka akabadili akawa anaimba kwa Kiswahili baada ya kuona soko kubwa TANZANIA . Miaka ya 2000- 2005 nyimbo za marekani zilikua moto zikaja za Nigeria kwani walikua wanaomba Kwa Kiswahili , kina kofii alomide and akija hata leo bongo anakua kama mfalme kwani anaimba Kiswahili sasa mkuu humu kuna watu mizezeta ipo ipo tu kichwani cjui hata huo ubongo kama yanao sasa yasikupotezee muda.
 
Uko sahihi kabisa mtoa maada. Maana hata hii social media ni ya wakenya pia.
 
Hapo nayo mumetushinda, kwa vile hamna lingine la kufanya, kazi huko Tanzania ni kuimba na kuzaana tu! Huku Kenya uki ambia mzazi unataka kuwa mwanamziki, kwanza atahuzunika sana, kwa sababu hatuoni ikiwa kitu serious, tunapenda masomo na kufanya kazi halisi.

Ndio maana kazi yetu ni kuoa tu kenya kutia mimba na kumuachia Erick omond aigilizie 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hakuna mahali nimesema nimekua mtanzania tunachotaka Kanda hii ya mashariki Ni uhuru,haki ,usawa na maendeleo, maendeleo bila uhuru na haki hayana maana na ndio maana Afrika kusini akina Mandela walipigania uhuru licha ya serikali iliokuepo madarakani ilikua imeleta maendeleo kibao na hata ndio unaona kenya hakimu mkuu amemuelekeza rais alivunje unge maana halina usawa . Tunataka haki Kanda hii na tukiwa na haki maendeleo yatakuja.

Dah..budaa sijaona mjaluo fala kama wewe asee.. au ndio mambo ya BBI na wewe uko na bloodline ya dynasties?

Yani unaitetea hii serikali ya jubilee kabisa na wizi wote huyo mtoto wa mama anafanya?
 
Mataga mnapoteza muda mkibishana na Wakenya, mumesahau mkulu wenu anapigwa za uso, kanda ya ziwa inanyakuliwa mchana licha ya nyie kuongea ongea Kisukuma.....Mspokua makini ajira yenu ya Lumumba inakwenda kuangukia pua, rudini kwenye nyuzi za siasa za Watanzania mjaribu kuendelea kuwashawishi Uchaguzi 2020 - Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

Hajapatikana wa kumtoa magufuli madarakani. Hivyo jiandaeni kwa miaka 5 mingine ya kunyooshwa ukanda huu.

Sisi hatuchagui kelele kama hapo Kenya, tunaangalia kichwani kuna nini.
 
Mataga mnapoteza muda mkibishana na Wakenya, mumesahau mkulu wenu anapigwa za uso, kanda ya ziwa inanyakuliwa mchana licha ya nyie kuongea ongea Kisukuma.....Mspokua makini ajira yenu ya Lumumba inakwenda kuangukia pua, rudini kwenye nyuzi za siasa za Watanzania mjaribu kuendelea kuwashawishi Uchaguzi 2020 - Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25
Jambo moja muhimu kwa wakenya kujifunza ni kwamba, sisi hatuna ukabila hata chembe, hiyo ndio maana halisi ya kuendelea. Wakenya mna mengi sana ya kujifunza toka Tanzania.

Rais atakayechagulisa, atakua anechaguliwa na watanzania toka nchi nzima, sio kutoka kwa kabila lake au eneo alikotoka.
 
Back
Top Bottom