Kwanini Watanzania wanaachana na taaluma zao na kukimbilia kwenye siasa?

Mbunge
posho ya kikao 300,000
posho ya kujikimu 120,000
posho mwisho wa mwezi 8,000,000
mshahara kwa mwezi 3,000,000(kumbka mshahara wake hakatwi kodi)
hapo nje kuna landcruiser V8 VX linamngoja.....
baada ya miaka mitano pension milion 250 zinamngoja

Nesi
Mshahara 776,000(hyo n baada ya kukatwa msururu wa makodi kibao,hii pesa ulipe nauli kla sku kwenda na kurudi kazini, ule ww na familia,usomeshe watoto wako na nduguzo,ulipe kodi nyumba,umeme,maji,taka,ulinzi shirikishi n.k)
Overtime 30,000 (ambayo hulipwi kwa wakat na unaeza usilipwe kabisa)
Kazin mda wote umesimama kuattend wagonjwa,

-Hapo nambie ungekuwa ww ungechagua siasa au taaluma?
 
Hii haina afya kwa taifa kwamba wanataaluma wanazitelekeza sekta zao na kuhamia siasani.

Hivi siasani kuna nini cha ziada wanachopata?

Niishie hapo kwa kifupi.

Maendeleo hayana vyama!

Maisha bora kwa kila mwanasiasa na bora maisha kwa kila mwanataaluma
 
Mtu kama Prof Lipumba unaweza kuniambia anafuata nini siasani?
Unajua vema anachofuata. Yaani unauliza maswali ambayo majibu yake unayo?
Inawezekana una taaluma ya ualimu. Maana mwalimu hawezi kumwuliza mwanafunzi swali ambalo hana majibu yake
Sasa usitufanye kama wanafunzi wako tafadhali!!!
 
Anza na Mwenyekiti wa ccm ana PhD ya kemia akaenda kwenye Ubunge
Kwa kifupi ni kwamba mishahara wa watumishi ni midogo mfano 'nasikia' mtu mwenye doctorate anayeanza kazi hazidi Tsh 3.5 M (kabla ya makato), wakati Mbunge anapiga More than 10 tsh millions.
Ingekuwa mtu mwenye doctorate anaanza na milioni 10 kwa mwezi wengi wangebaki vyuoni kufundisha na wale watakaoenda kwenye siasa watakuwa kweli wana '
passion' kwa sababu mishahara inalingana kote kote kwenye uhadhiri na Ubunge
Kingine Mimi napendekeza Wabunge walipwe posho na mishahara kwa kuzingatia kiwango chao chao cha elimu (educational level) mfano Mbunge ambaye ni la saba mshahara wake uwe tsh milioni 4, form four milioni 5, cform 6 na Certificate iwe ni 6M, diploma milioni 7,degree milioni 8, masters milioni 9,PhD milioni 10,prof milioni 12
Ikishindikana kabisa walipwe milioni 5 wote
 
Mbunge
posho ya kikao 300,000
posho ya kujikimu 120,000
posho mwisho wa mwezi 8,000,000
mshahara kwa mwezi 3,000,000(kumbka mshahara wake hakatwi kodi)
hapo nje kuna landcruiser V8 VX linamngoja.....
baada ya miaka mitano pension milion 250 zinamngoja

Nesi
Mshahara 776,000(hyo n baada ya kukatwa msururu wa makodi kibao,hii pesa ulipe nauli kla sku kwenda na kurudi kazini, ule ww na familia,usomeshe watoto wako na nduguzo,ulipe kodi nyumba,umeme,maji,taka,ulinzi shirikishi n.k)
Overtime 30,000 (ambayo hulipwi kwa wakat na unaeza usilipwe kabisa)
Kazin mda wote umesimama kuattend wagonjwa,

-Hapo nambie ungekuwa ww ungechagua siasa au taaluma?
Jibu zuri umempa mataga was kijani kibichi anauliza swali hajui kuwa Ni mfumo uliojengwa na chama chake Cha kijani kibichi mwalimu degree holder mshahara wa kuanzia 716000 ,mbunge sifa ya kuwa mbunge kujua kusoma na kuandika mshahala na marupurupu Kama ulivyoanisha happy juu ,kwanini watu wasikimbilie huko? CCM oyeee Joni mbatizaji kazi nzuri ya chama chako halafu unatuuliza muulize mwenyekiti wako?
 
Acha utapeli wa bei rahisi Paskali, huwezi kumsaidia huyo rais wenu bila kuwa mbunge?
Jee umesikiliza hoja zangu?. Hapa nilipo, tayari nimeisha saidia sana, but I need to get closer ili kusaidia kuzuia madudu kabla hayajatokea!.
Zisikilize hoja zangu kwa makini.

P.
 
Anza na Mwenyekiti wa ccm ana PhD ya kemia akaenda kwenye Ubunge
Kwa kifupi ni kwamba mishahara wa watumishi ni midogo mfano 'nasikia' mtu mwenye doctorate anayeanza kazi hazidi Tsh 3.5 M (kabla ya makato), wakati Mbunge anapiga More than 10 tsh millions.
Ingekuwa mtu mwenye doctorate anaanza na milioni 10 kwa mwezi wengi wangebaki vyuoni kufundisha na wale watakaoenda kwenye siasa watakuwa kweli wana '
passion' kwa sababu mishahara inalingana kote kote kwenye uhadhiri na Ubunge
Kingine Mimi napendekeza Wabunge walipwe posho na mishahara kwa kuzingatia kiwango chao chao cha elimu (educational level) mfano Mbunge ambaye ni la saba mshahara wake uwe tsh milioni 4, form four milioni 5, cform 6 na Certificate iwe ni 6M, diploma milioni 7,degree milioni 8, masters milioni 9,PhD milioni 10,prof milioni 12
Ikishindikana kabisa walipwe milioni 5 wote
Washushwe mishahara Kama watumishi wengine tu.
 
Washushwe yani walipwe Tgs d,e,f,g,h,au? Pendekeza kiwango
Washushwe Kama watumishi wengine wa umma na sio kulipwa mishahara mikubwa wakati bungeni kazi yao Ni kupiga tu makofi, wakishushwa hapo tutapata wazalendo wa kweli na rushwa zitakoma kwenye chaguzi na taaluma zitaheshimiwa Sasa maana wasomi watatumia akili kutatua changamoto na tutapiga maendeleo.
 
Nakuunga mkono, kwenye hoja kwamba tutapata wabunge wazalendo na kupungua kwa rushwa kipindi cha uchaguzi.
 
Maana watu wanahonga wakifika kule hamna la maana wanalofanya ikiisha five year's wanarudi kuhonga Tena. Nchi hii tusipotaka kubadilika na kufanya siasa Ni kila kitu umaskini hautakaa uishe
 
Issue hapo ni kwa wabunge wenyewe kupitisha Sheria wabadili/wapunguze mishahara yao na marupurupu ugumu ni kwenye kuleta hilo azimio na kupitishwa na wabunge.
 
Mwenye mamlaka nchi hii ni Raisi tu bila amri yake nothing is going to change
 
Jee umesikiliza hoja zangu?. Hapa nilipo, tayari nimeisha saidia sana, but I need to get closer ili kusaidia kuzuia madudu kabla hayajatokea!.
Zisikilize hoja zangu kwa makini.

P.

Hicho kipindi nilikuona Live, utafanya nini ukiwa mwenyewe? Hivi unadhani hatujui mwenendo wa hilo bunge? Ww sema unataka na ww ukale cake ya taifa, na wala sio hayo uliyosema. Mambo ya party Caucasus yatakufanya hata umuite Magu ni Mungu, maana mwenzako alimuita Yesu.
 
Kwa.sababu wanataka kutumia taaluma zao wakiwa makao makuu ya nchi mubashara na si kwengineko
 
Hicho kipindi nilikuona Live, utafanya nini ukiwa mwenyewe? Hivi unadhani hatujui mwenendo wa hilo bunge? Ww sema unataka na ww ukale cake ya taifa, na wala sio hayo uliyosema. Mambo ya party Caucasus yatakufanya hata umuite Magu ni Mungu, maana mwenzako alimuita Yesu.
Mkuu Tindo, Bungeni mambo ya party caucasus ni kwenye policy issues na issues zinazotakiwa kupigiwa kura, ndipo wote lazima msimame pamoja under the collective responsibility mode, lakini kwenye issue za kufuata katiba, sheria, taratibu na kanuni, hakuna party Caucasus!.

Bunge limepitisha azimio batili!, tunawaeleza ni azimio batili, hawasikii, wanatia pamba masikioni, kujimwambafy na kurudisha vifaa na miwili na kujiita " sisi ni Mhimili"!,
Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG?

Kisha unawafungua macho kwa vipengele vya katiba kuwa wasipopokea Ripoti ya CAG ndani ya siku 7, Bunge linavunjwa!.
Je, Wajua Bunge linaweza kuvunjwa Siku 7 Zijazo?. lisipopokea ripoti ya CAG, Bunge linavunjwa kwa mujibu wa Katiba

Ndipo wanafunguka macho, na kimya kimya, kuliweka pembeni azimio batili lao, na kupokea ripoti ya CAG!.

Je, wajua kikatiba, CAG ana hadhi ya Jaji Mkuu?. Je, wajua ripoti ya CAG ni Zaidi ya Bill?. Je, wajua kwenye ripoti ya GAG, CAG ni zaidi ya Rais ?
Wanabodi,
.., lakini kiukweli kabisa from the bottom of my heart, tunaviongozi wetu waliokula viapo vya kuilinda na kuitekeleza katiba, lakini in reality hawaijui katiba, na kwa kutoijua kwao katiba, wanajikuta wanaivunja katiba, lakini kufuatia wavunja katiba hawa kuwa ni viongozi wa juu wenye mamlaka, wale wasaidizi wao, manguli wa sheria, wapo, wanaona katiba inavunjwa na wamenyamaza tuu kwa kuhofia wasiwaudhi mabosi wao.

Kiukweli kabisa, katiba japo ni kakitabu kadogo tuu ka kurasa 112, lakini ndicho kitabu muhimu kabisa kwa taifa letu apart from The Bible na Msahafu, lakini wengi wa viongozi wetu wengine wakuu, hawaijui katiba na kuna mambo wanafanya kwa nia njema kabisa tena with clear conscious in good faith, kumbe wanavunja katiba, laiti wasaidizi wao wanaojua kabisa huu ni uvunjaji wa Katiba, wangewaeleza ma mosi wao kwa heshima na unyenyekevu kabisa kuwa boss, kwenye hili katiba inaelekeza hivi, naamini tungetengeneza Tanzania bora zaidi kuliko hii ninayoina mimi.

Paskali
KaShivjiKadogo.

Mtu kama mimi ningekuwepo mule, si ningesaidia?.

Naamini JPM anahitaji kusaidiwa na watu wenye critical thinking kuliko hao cheerleaders ambao kazi yao ni kusifu tuu kwa nyimbo za shangwe na mapambio!.
Kati ya wakosoaji wa Rais Magufuli na Serikali yake, na wasifiaji nani wanamsaidia zaidi? Ijue nafasi ya JamiiForums
P
 
In Tanzania, politics is not only a plausible source of employment but a short cut to better life too.
 
Mkuu Tindo, Bungeni mambo ya party caucasus ni kwenye policy issues na issues zinazotakiwa kupigiwa kura, ndipo wote lazima msimame pamoja under the collective responsibility mode, lakini kwenye issue za kufuata katiba, sheria, taratibu na kanuni, hakuna party Caucasus!.

Bunge limepitisha azimio batili!, tunawaeleza ni azimio batili, hawasikii, wanatia pamba masikioni, kujimwambafy na kurudisha vifaa na miwili na kujiita " sisi ni Mhimili"!,
Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG?

Kisha unawafungua macho kwa vipengele vya katiba kuwa wasipopokea Ripoti ya CAG ndani ya siku 7, Bunge linavunjwa!.
Je, Wajua Bunge linaweza kuvunjwa Siku 7 Zijazo?. lisipopokea ripoti ya CAG, Bunge linavunjwa kwa mujibu wa Katiba

Ndipo wanafunguka macho, na kimya kimya, kuliweka pembeni azimio batili lao, na kupokea ripoti ya CAG!.

Je, wajua kikatiba, CAG ana hadhi ya Jaji Mkuu?. Je, wajua ripoti ya CAG ni Zaidi ya Bill?. Je, wajua kwenye ripoti ya GAG, CAG ni zaidi ya Rais ?

Mtu kama mimi ningekuwepo mule, si ningesaidia?.

Naamini JPM anahitaji kusaidiwa na watu wenye critical thinking kuliko hao cheerleaders ambao kazi yao ni kusifu tuu kwa nyimbo za shangwe na mapambio!.
Kati ya wakosoaji wa Rais Magufuli na Serikali yake, na wasifiaji nani wanamsaidia zaidi? Ijue nafasi ya JamiiForums
P

Nani atakupa hiyo nafasi? Hilo bunge linaendeshwa kwa itikadi, na hoja zenye nguvu ni zile zinazowatweza wapinzani. Ni kweli unaweza ukafika na hayo matamanio yako, lakini kama wengi hawaamini unachoamini au kutamani,utabaki kupaka rangi upepo. Finally na ww utakata tamaa na kuishia kuwa mla posho kama wengine. Chini ya rais huyu, bunge ni kama kikundi cha wasaka mlo walio kisheria, wala hakuna lolote nje ya anachokipenda.
 
Back
Top Bottom